Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aisee mimi kwenye highway za Bongo gari la chini ni mtihani. Nahisi unapaswa kuwa na umakini wa ziada unapokuwa na gari la chini, ama?
Wala sijaona changamoto yoyote trip zote ninazopiga.. Hamna sehemu naenda hakuna lami. Na hamna hata tuta moja highway gari inagusa chini. Last trip ya Dom nilipiga tuta pale ranch na mwendo mkali Sana na gari Hadi leo iko poa. Napenda gari ya chini kwasababu ya stability.
 
Okay. Good for you mazee! Ila uwa nipo uncomfortable na gari za chini. Pengine kwa sababu sijawahi kuendesha gari ya chini yenye stability nzuri. Kuna Avensis sijawahi kuitumia kwa safari ndefu.
 
Wala sijaona changamoto yoyote trip zote ninazopiga.. Hamna sehemu naenda hakuna lami. Na hamna hata tuta moja highway gari inagusa chini. Last trip ya Dom nilipiga tuta pale ranch na mwendo mkali Sana na gari Hadi leo iko poa. Napenda gari ya chini kwasababu ya stability.
Zile tuta za pale ranchi zipo kama tano hivi first time njia hiyo saa nane usiku nimezipanda hizo nikiwa kama 130 hivi..
 
Leo twatoka nje ya Mji kidogo
20211218_085035.jpg
 
Back
Top Bottom