Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
Ubarikiwe mno mkuu!Inanipa burudani highway...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe mno mkuu!Inanipa burudani highway...
Aisee mimi kwenye highway za Bongo gari la chini ni mtihani. Nahisi unapaswa kuwa na umakini wa ziada unapokuwa na gari la chini, ama?Inanipa burudani highway...
Wala sijaona changamoto yoyote trip zote ninazopiga.. Hamna sehemu naenda hakuna lami. Na hamna hata tuta moja highway gari inagusa chini. Last trip ya Dom nilipiga tuta pale ranch na mwendo mkali Sana na gari Hadi leo iko poa. Napenda gari ya chini kwasababu ya stability.Aisee mimi kwenye highway za Bongo gari la chini ni mtihani. Nahisi unapaswa kuwa na umakini wa ziada unapokuwa na gari la chini, ama?
Okay. Good for you mazee! Ila uwa nipo uncomfortable na gari za chini. Pengine kwa sababu sijawahi kuendesha gari ya chini yenye stability nzuri. Kuna Avensis sijawahi kuitumia kwa safari ndefu.Wala sijaona changamoto yoyote trip zote ninazopiga.. Hamna sehemu naenda hakuna lami. Na hamna hata tuta moja highway gari inagusa chini. Last trip ya Dom nilipiga tuta pale ranch na mwendo mkali Sana na gari Hadi leo iko poa. Napenda gari ya chini kwasababu ya stability.
Zile tuta za pale ranchi zipo kama tano hivi first time njia hiyo saa nane usiku nimezipanda hizo nikiwa kama 130 hivi..Wala sijaona changamoto yoyote trip zote ninazopiga.. Hamna sehemu naenda hakuna lami. Na hamna hata tuta moja highway gari inagusa chini. Last trip ya Dom nilipiga tuta pale ranch na mwendo mkali Sana na gari Hadi leo iko poa. Napenda gari ya chini kwasababu ya stability.
Mtoke salamaLeo twatoka nje ya Mji kidogoView attachment 2048331
Kwa kasi ya 4GSaint Anne naona umepita...
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mtoke salama
Mzee ungekula mmoja shaba ya pumbu.Una cha moto alafu unaogopa ogopa tena ? natembeaga maporini kabisa usiku mkali alafu nakuwa mwenyewe tu
Akili Iliwaka 😂😂😂, nimepita saa 1 hapo. Ulikuwa umetulia Nexus au Break PointOffshore Seamen mwanangu nipo makumbusho.. akili imewaka hatari 😊😊😊
Umerenga hatari, nilikuwa Nexus 😂😂😂😂Akili Iliwaka 😂😂😂, nimepita saa 1 hapo. Ulikuwa umetulia Nexus au Break Point
Jana jioni sikuwa online, ningepita hapo kuangalia samaki kwenye Aquarium.Umerenga hatari, nilikuwa Nexus 😂😂😂😂