Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo taa ya tank[emoji1787]View attachment 2066471
Dar-Arusha-Dar na misele ya Arusha nimetembea km 1310, nimetumia wese 340,000/-. Wakati wa kurudi nimekamua sana.
Average 10.6km/L
Kwa sadala machine tools kona ya machame
Hongera gari nzuri. Kuna mahali nili ikuta gari Kama hiyo Ila imefungwa injini ya Corolla.Wazee wa Road Trip naombeni ushauri kidogo... Kuna gari Honda CR-V second generation (2002) nataka kuichukua, ila kabla sijaichukua nimekuja hapa kupata muongozo kwenu wadau.
Wasifu wa hii gari ni manual transmission yenye real time 4WD, gari ni left hand drive, mmiliki ni muhindi anakaa upanga hapo, aliinunua ikiwa zero mileage plate number ni CK, Hadi Sasa inasoma 130,000 mileage. Nimevutiawa na dash yake inasoma Kmh220 na Mph140.
Kwa wasifu huu mfupi mnanishaurije wadau? Kwenye swala la upatikanaji wa spare na mengineyo muhimu. CC RRONDO Bavaria Kijana wa hovyo hovyo Offshore Seamen ISO M.CodD na wengine wenye uzoefu na hii gari..
Natanguliza shukran.
Wazee wa picha :
View attachment 2065999View attachment 2066000View attachment 2066001View attachment 2066002
Haha sikukuu hii tumelia hapa hapa mjini tu mkuu [emoji1][emoji1]
Tukuyu.....wiki iliyopitaHivi kwenye huu uzi kuna mtu alikuwa tukuyu au korogwe
Wakati wa ku overtake unaacha distance kidogo itakusaidia kuona upande wa pili, haisumbui kabisaHongera gari nzuri. Kuna mahali nili ikuta gari Kama hiyo Ila imefungwa injini ya Corolla.
Hivi left hand haisumbui wakati wa Ku overtake? Haswa ukiwa alone.
We mzee wa 180 km/h left haikufai...[emoji23][emoji23][emoji23] Left hand kwenye overtake inabidi uwe na msaidizi kama zile za hapa na pale, nilishatoka na left hand mala moja yaani unakosa raha sana na hizi road zetu.. gari inasoma vyema kwenye sahani ila kujishtukia sana
Manina zako [emoji1787][emoji1787]Nilipata sana shida siku ile, ila mitaa flani ya manyoni tabora niliburuza nilikuwa nachezea 220kmh..
Aisee hizo speed zako punguza, Bado kijana mdogo ujue unafamilia [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kile kipande acha, soon Mungu akijalia nitalala napo kule
Nimekaa zangu hapa kwa kutulia nasubiri mwaliko wa road trip moja nilioahidiwa.!Msata moja
View attachment 2066161
View attachment 2066471
Dar-Arusha-Dar na misele ya Arusha nimetembea km 1310, nimetumia wese 340,000/-. Wakati wa kurudi nimekamua sana.
Average 10.6km/L