Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Watu wa Dar hamna upendo kabisa[emoji19]

.....
Huko kigamboni nitsenda kwa kupita darajani..
Ila kwenye maji siji kuthubutu mimi.
Siyo hatuna upendo tatizo foleni za hilo jiji. Zamani wakati bado kula kulala nilikuwa na muda wa kufunga safari from Tegeta to Tabata ili tu nikatafute kijiwe kipya cha kula na kunywa nilikuwa siwazi kuhusu foleni maana sina pa kuwahi.

......

Tangu maisha yawe magumu huo utoto nimeacha asee kwenda sehemu ni hadi kuwe na jambo la msingi la kunipeleka. Nikimaliza kilichonipeleka ndiyo nitaangalia kama kuna kijiwe kizuri ila siyo nikifungie safari toka huko daah uongo.

......

Basi mimi huwezi amini ile njia ya darajani nayo nina zaidi ya mwaka sijaipita na siipendi sababu iko mbali kwangu ni kama nazunguka. Mixer foleni za ile misemi inayotoka na kuingia bandarini aahh mie ni mwendo wa pantoni tu shwaaa tayari.
 
Dar ni ndogo kwenye ramani. Ila kwenye 'ground' ni kubwa kupita maelezo.

Kuna maeneo kama Buza sijawahi fika toka nizaliwe. Gongo la mboto naweza fika mara 1 kwa miaka miwili. Kigamboni naenda mara 1 kila baada ya miaka mitano.

Kama huna ishu sehemu, sio rahisi kwenda.
Sure mkuu mwenyewe Buza hadi leo napasikia sijawahi fika na natamani siku nifike nikapaone tu lakini ukiwaza unajiona jau yaani unafunga safari toka lets say Boko hadi Buza ili tu ukapaone. Mimi naona ni rahisi mtu kuzurura maeneo ambayo ni karibu na Makazi yako hapo inakuwa haina noma.
 
Wakishua itabidi nikutafute nikulete Buza upaone.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jenga basi uniajiri niwe nakubetia mambo[emoji23][emoji23].
Ajira ngumu hizi,,tunajikuta tunaanza kusoma mafuta mtaani..
Si mama alishasema anawashangaa wasio na ajira na pia kuna hatari ya majobless kukusanywa na kupigwa mnada kama mbolea nchi za nje[emoji23]

Naiba wapi hela za kujenga kituo jamani[emoji23].
Ila on serious note biashara hiyo ina faida aisee,yaani ndani ya miezi michache mtu anarudisha mtaji wake.
Hahaaaaaa kwa hiyo badala ya nchi, jobless ndio watanadiwa
 
Siyo hatuna upendo tatizo foleni za hilo jiji. Zamani wakati bado kula kulala nilikuwa na muda wa kufunga safari from Tegeta to Tabata ili tu nikatafute kijiwe kipya cha kula na kunywa nilikuwa siwazi kuhusu foleni maana sina pa kuwahi.

......

Tangu maisha yawe magumu huo utoto nimeacha asee kwenda sehemu ni hadi kuwe na jambo la msingi la kunipeleka. Nikimaliza kilichonipeleka ndiyo nitaangalia kama kuna kijiwe kizuri ila siyo nikifungie safari toka huko daah uongo.

......

Basi mimi huwezi amini ile njia ya darajani nayo nina zaidi ya mwaka sijaipita na siipendi sababu iko mbali kwangu ni kama nazunguka. Mixer foleni za ile misemi inayotoka na kuingia bandarini aahh mie ni mwendo wa pantoni tu shwaaa tayari.

Mi na uzee huu starehe yangu ni kula

Nafunga safari Ila Zile sehemu ambazo hazitanisumbua kurudi

Hela naisaka kwa Tabu hata kuitumia nibanie [emoji134] hapana
 
Mimi hadi kesho starehe yangu ni kusafiri. Kula siyo starehe yangu sababu kunanifanya ninenepe tu wengine tunakula basi tu ili tusife njaa.

Hata safari za kikazi mtu anaweza akaona kama amenikomoa kumbe ndiyo kampa kichaa rungu. Sie wengine hatuoni shida kuwa safarini hata kila wiki.

Mimi safari siichukulii kama adhabu bali naichukulia kama adventure na exposure. Kuna mtu akiambiwa kuna safari anatamani hata kulia dooh.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jenga basi uniajiri niwe nakubetia mambo[emoji23][emoji23].
Ajira ngumu hizi,,tunajikuta tunaanza kusoma mafuta mtaani..
Si mama alishasema anawashangaa wasio na ajira na pia kuna hatari ya majobless kukusanywa na kupigwa mnada kama mbolea nchi za nje[emoji23]

Naiba wapi hela za kujenga kituo jamani[emoji23].
Ila on serious note biashara hiyo ina faida aisee,yaani ndani ya miezi michache mtu anarudisha mtaji wake.
Usiniambie.
 
Back
Top Bottom