Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii 240Ha ha ha ila hii ya kinyonge 180kph mwisho.
Nyiye ndiyo wafanya vurugu wakubwa barabara ya Dar-Dom!
Ni DieselI thought zile za petrol zenye 180kph
Haha ila angalau Sisi wengine hatufanyi hivyo kwa lengo la kuoneshana ubabeNyiye ndiyo wafanya vurugu wakubwa barabara ya Dar-Dom!
Yani Moshi ni chap tu.Chuma kimetua Moshi...Dar saa 0430, Moshi 1030
View attachment 2131617
Vurugu ni Dar Moro mkuuTumerudi salama salimini Jana usiku. Njia ya kaskazini nzuri sana sio Ile vurugu ya Dar-Dom
Duh 11hrs si mchezoKwa leo zinatosha.
View attachment 2134382
Nimetokea Moro mchana nikiitafuta Musoma, baada ya kilomita 1000 nimeona nipumzike Bariadi. Nimeendesha nonstop for 11 hours.
Kesho nayo siku, nisije nikavagaa kicheche kwa wenge la fatigue
Daah yaani kuna watu hawana haja ya kuvimba barabarani. Maana magari wanayoendesha yanavimba kwa niaba yao.
Heri ningemalizia hizi km200 jana nikafika Musoma. Kiherehere changu kusafiri asubuhi nimeliwa fine mbili back to back zimepishana nusu saa.Duh 11hrs si mchezo
Masaa matano kilomita 560? Mbona average tuHii speed hapana mkuu
Sasa unaingia mkoa wa Mara!!Heri ningemalizia hizi km200 jana nikafika Musoma. Kiherehere changu kusafiri asubuhi nimeliwa fine mbili back to back zimepishana nusu saa.
Shikamooni wakurya, mmenikaribisha vilivyo kanda maalum
View attachment 2135114