Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mambo yapi?Safi huduma zao ziko poa.. karibu mambo yako fresh hapa [emoji41][emoji41][emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yapi?Safi huduma zao ziko poa.. karibu mambo yako fresh hapa [emoji41][emoji41][emoji41]
safi kwa ndani patulivu kilaji una order tuMambo yapi?
kuna 75k, 90k, 160k, 200k na 350k.... standard flani nzuri kinachonitoa mchezoni location rahisi kukutana na mtu mnajuana akiwa anatoka kuswampa stand 🤣🤣Quality ya rooms na bei zikoje?
yale mambo yetu unaenda nayo mwenyewe tu 😁😁😁Nilifikiri mambo yetu yale 😎😎
Haha. Nilitaka ku-confirm.Nilifikiri mambo yetu yale 😎😎
kwaiyo ulifanya kama hujui vile 😁😁Haha. Nilitaka ku-confirm.
Morogoro imekaa kushoto sana, unaweza ukalala hata dagaa hujapata.. jana nimetoka sehemu nikaingia morogoro.. nimekaa hadi mchana naona maluwe luwe tu.. nikaamsha hadi dodoma.. kidogo.. nilikuwa nimechoka choka.. nilitaka asubuhi niamkie mwanza 😁😁😀Mvuvi unaendaje mtoni na kambale!
Duh ila unaendesha gari wewe mtuMorogoro imekaa kushoto sana, unaweza ukalala hata dagaa hujapata.. jana nimetoka sehemu nikaingia morogoro.. nimekaa hadi mchana naona maluwe luwe tu.. nikaamsha hadi dodoma.. kidogo.. nilikuwa nimechoka choka.. nilitaka asubuhi niamkie mwanza 😁😁😀
Hahahhahahah mzee unasaka vitoweo tuMorogoro imekaa kushoto sana, unaweza ukalala hata dagaa hujapata.. jana nimetoka sehemu nikaingia morogoro.. nimekaa hadi mchana naona maluwe luwe tu.. nikaamsha hadi dodoma.. kidogo.. nilikuwa nimechoka choka.. nilitaka asubuhi niamkie mwanza 😁😁😀
ndio ndio ni suiteLocation ya ajabu. Kuna room hadi 350k hapo? Itakuwa suite fulani.
😀😀😀😀 mazoezi ya mwili muhimuHahahhahahah mzee unasaka vitoweo tu
Kutii sheria sometimes kuna raha yake Mkuu...Juzi sgd to kahama nimetii sheria bila shuruti cjasimamishwa na trafic kbs[emoji120]