Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hilo dude sipati picha wale ma suka wa stl wakipewa mashine ng’ada kibaoni 260kph halafu chuma ina full tank engine ni 415HP!
Dar - Dom itakuwa ni speed mshale masaa 3.5 maana yanafungua kweli kweli hayo
😄😄😄 naona wana zisubiri kwa hamu sanaa.. tusubiri budget mpya ikitoka watakuja nazo.. nasubiri kuziona kwenye msafara wa mamaaa
 
Leo nimekutana na LC300 GR mitaa ya Njiro.

Mi nashusha yeye anapandisha.

DYR.
Watu hawana nidhamu

20220401_141809.jpg
 
Back
Top Bottom