RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu kwema,
Nmenyanyua ist juzi bandarin sasa nataka nikapulize hadi mwanza wiki ijayo nipeni maujuz kama katafika kutoka dar pia niende moja kwa moja au niweke vituo mfano nikitoka dar nilale dom then kesho niunge had mwanza….
Karibun kwa mawazo ni vitu gani vya kuzingatia kabla,wakati na baada ya safari.
NB:Sitafanya mashindano yoyote road naenda kistarehe kabisa sina haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wale wa V8 300 series,vanguard,bmw,toureg VW, njia nyeupeee nendeni tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu Boiker , around how much tsh mpaka umeitia road hiyo ist?
Na je ule ukaguzi wa kipuuzi wa TBS bado unafanyika hapo bandari? ama wameshatii agizo la chief Hangaya la kufanyia ukaguzi kule kule Japan?
-Kaveli-
Aisee nimepata sababu ya kupark kabisa😅Wakuu kwema....naona road trips zinaendelea pamoja na bei za ajabu za mafuta. Wengine imebidi tukae nje ya jamvi maana yanayoendelea sasa hivi unaweza kujikuta kila siku unaambulia ban kama Extrovert au ukakumbana na wasiojulikana. All in all #KaziIendelee
Vits nayo unapark, wenye premio wafanye nini 🤣🤣Aisee nimepata sababu ya kupark kabisa😅
3321 😛Wale wa Diesel tukajaze wese usiku
Mambo si mambo[emoji23]
Ni kipigo tu 😅😅😅😅😅Kwema wakuu..... leo sina hamu kabisa yani, yani leo nimechezewa na Alphard kama mtoto hadi roho imeniuma sana na hadi hapa nilipo nina hasira sana na hata usingizi umegoma kabisa. Mie nilikuwa na Nissan XTRAIL old model T30.
Na ilikuwa ni msafara mmoja wa harusi na aliekuwa ananichezea ni kaka yangu na huwa hafati mziki wangu hata kidogo na hata yeye anajua hilo na kabla ya safari kuanza aliniomba nisikimbie sana. Tumetoka Singida na kwenda kuoa Mwanza, na gari zilikuwa 8 yaani Alphard 2, Nissan XTRAIL 2, IST 1, Toyota Camry 1, Kluger 1 na bus kubwa tulikodi kwa ajili ya akina mama.
Na sababu ya kuchezewa ni hii gari yani ikifika 150kph - 160kph inapandisha sana Temperature kwa hiyo inabidi upunguze hadi 100kph - 90kph ndio angalau inashusha temperature. Hii gari niliazima kwa jamaa yangu na kumuachia gari yangu Subaru Forester XT kwa kigezo cha kusave pesa kwenye masuala ya mafuta. Lakini baada ya kusave mafuta mwishowe imeniletea fedheha tu. Ila Kiukwel nimezichukia sana Nissan XTRAIL.
50K ndiyo reserve tank yenyewe...
Hello handsome! Kitambo sana sijakutia machoni 😜Mremboooo!
Sitembelei Vits kuwa na adabu wewe😅 nina mashine ya 1800ccVits nayo unapark, wenye premio wafanye nini 🤣🤣
Hamna bana, yanabaki kidogo…50K ndiyo reserve tank yenyewe...
Mtoto mlilia wembe...
Utalala nalo kabisa, usijali... ukishafilisikia utanirudishia...Hamna bana, yanabaki kidogo…
Nitatoboa kiasi 😝😝
🤣🤣😂😂 nisipofilisika?Utalala nalo kabisa, usijali... ukishafilisikia utanirudishia...
Haya bana, watu na wish zenu..Sitembelei Vits kuwa na adabu wewe😅 nina mashine ya 1800cc
Ujue nimeamua kukuonea huruma na kukujazia full tank...🤣🤣😂😂 nisipofilisika?
😂😂😂 sawa BossUjue nimeamua kukuonea huruma na kukujazia full tank...
Hahaha. Karibu tena mkuu.Wakuu kwema....naona road trips zinaendelea pamoja na bei za ajabu za mafuta. Wengine imebidi tukae nje ya jamvi maana yanayoendelea sasa hivi unaweza kujikuta kila siku unaambulia ban kama Extrovert au ukakumbana na wasiojulikana. All in all #KaziIendelee
Wakuu kwema....naona road trips zinaendelea pamoja na bei za ajabu za mafuta. Wengine imebidi tukae nje ya jamvi maana yanayoendelea sasa hivi unaweza kujikuta kila siku unaambulia ban kama Extrovert au ukakumbana na wasiojulikana. All in all #KaziIendelee