Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu kwema,

Nmenyanyua ist juzi bandarin sasa nataka nikapulize hadi mwanza wiki ijayo nipeni maujuz kama katafika kutoka dar pia niende moja kwa moja au niweke vituo mfano nikitoka dar nilale dom then kesho niunge had mwanza….

Karibun kwa mawazo ni vitu gani vya kuzingatia kabla,wakati na baada ya safari.

NB:Sitafanya mashindano yoyote road naenda kistarehe kabisa sina haraka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wale wa V8 300 series,vanguard,bmw,toureg VW, njia nyeupeee nendeni tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mkuu Boiker , around how much tsh mpaka umeitia road hiyo ist?

Na je ule ukaguzi wa kipuuzi wa TBS bado unafanyika hapo bandari? ama wameshatii agizo la chief Hangaya la kufanyia ukaguzi kule kule Japan?

-Kaveli-
 
Nchi ngumu sana hii…
Nimepambana kimtindo imekata 14.5
TBS bado wanafanya yao sasa cjui maagizo ya Hangaya wao hayawahusu……

Si unajua tena na bei ya mafuta Tz ipo chini kuliko Marekan sahv[emoji2][emoji2][emoji2]
 
IMG_20220505_165949_HDR.jpg

ABC kwa mbali inaombwa 'saiti'
 
Wakuu kwema....naona road trips zinaendelea pamoja na bei za ajabu za mafuta. Wengine imebidi tukae nje ya jamvi maana yanayoendelea sasa hivi unaweza kujikuta kila siku unaambulia ban kama Extrovert au ukakumbana na wasiojulikana. All in all #KaziIendelee
Aisee nimepata sababu ya kupark kabisa😅
 
Kwema wakuu..... leo sina hamu kabisa yani, yani leo nimechezewa na Alphard kama mtoto hadi roho imeniuma sana na hadi hapa nilipo nina hasira sana na hata usingizi umegoma kabisa. Mie nilikuwa na Nissan XTRAIL old model T30.

Na ilikuwa ni msafara mmoja wa harusi na aliekuwa ananichezea ni kaka yangu na huwa hafati mziki wangu hata kidogo na hata yeye anajua hilo na kabla ya safari kuanza aliniomba nisikimbie sana. Tumetoka Singida na kwenda kuoa Mwanza, na gari zilikuwa 8 yaani Alphard 2, Nissan XTRAIL 2, IST 1, Toyota Camry 1, Kluger 1 na bus kubwa tulikodi kwa ajili ya akina mama.

Na sababu ya kuchezewa ni hii gari yani ikifika 150kph - 160kph inapandisha sana Temperature kwa hiyo inabidi upunguze hadi 100kph - 90kph ndio angalau inashusha temperature. Hii gari niliazima kwa jamaa yangu na kumuachia gari yangu Subaru Forester XT kwa kigezo cha kusave pesa kwenye masuala ya mafuta. Lakini baada ya kusave mafuta mwishowe imeniletea fedheha tu. Ila Kiukwel nimezichukia sana Nissan XTRAIL.
Ni kipigo tu 😅😅😅😅😅
 
Wakuu kwema....naona road trips zinaendelea pamoja na bei za ajabu za mafuta. Wengine imebidi tukae nje ya jamvi maana yanayoendelea sasa hivi unaweza kujikuta kila siku unaambulia ban kama Extrovert au ukakumbana na wasiojulikana. All in all #KaziIendelee
Hahaha. Karibu tena mkuu.
 
Acha kabisa...
 
Back
Top Bottom