Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Same hii mkuuGet la kuingia Tunduma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Same hii mkuuGet la kuingia Tunduma
Kutoka Kyela hiyoView attachment 2237182
View attachment 2237183
Safari za "During the day" kero tupu, Vibao vya 50 kama vyote, alaf na wale "kunguru" wa rangi nyeupe na blue wamemwagwa njiani balaa
View attachment 2237190
DSM see you Soon....nkitua breki ya kwanza Kitambaa Cheupe kufanya ibada kidogo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Watu niliokuwa nao waoga kishenzi ilikuwa I'm click 140 wanalalamika kishenziKwa hizo kms ukiendeshea 80kph lazma pakuche upya uko barabarani[emoji1787]! Dawa ni kuichapa lami kwa 160kph-200kph
Kama aluanzia moro ni sawatoka saa1 jioni uingie tunduma saa 11 alfajiri its not a joke, ulitembea kweri kweri
Ni Kma 730; kea huo mda ni sawaWith high risk mkuu, barabara zenyewe ni shida, umbali sio mrefu sana Moro to Tunduma almost 900km, mendoza wa 10hr pamoja na mapumziko kwa wastani wa 100km/hr
Ni 80kph mkuu labda wawe wamebadilishaKwetu kama hamna 50kph zone unatembea uwezavyo [emoji41][emoji41]
unapita nayo wapi hio speed na muda gani maana yange yange wamechukua sura mpya sahizi ni kujazana road tu kama uyogaMbona hawakai na tochi kutumulika tunaopita na 160kph?
Hahahahaha unaendesha gari watu wanachungulia majira ya kph🤣🤣🤣 ni mzigo kuwa na abiria waoga namna hio nachopinga ni overtakes za kiboya na kutanua bila taadhari tu ila kama mbele peupe hata ukigonga 180 sio swala.Watu niliokuwa nao waoga kishenzi ilikuwa I'm click 140 wanalalamika kishenzi
Aisee safari ndefu hivyo mi ningetoka saa 9 tu jioni ndio nakatiza uyole ili giza linikutie mbele mbele kidogo nianze kupasuka.View attachment 2237182
View attachment 2237183
Safari za "During the day" kero tupu, Vibao vya 50 kama vyote, alaf na wale "kunguru" wa rangi nyeupe na blue wamemwagwa njiani balaa
View attachment 2237190
DSM see you Soon....nkitua breki ya kwanza Kitambaa Cheupe kufanya ibada kidogo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Maeneo yote yasiyo na limit ya 50kph napita na mwendo kuanzia 120<<<<<<. Au wewe baada ya 50kph zone unaendesha 80kph Dar-Moshi?unapita nayo wapi hio speed na muda gani maana yange yange wamechukua sura mpya sahizi ni kujazana road tu kama uyoga
Ujinga huu ndio chanzo cha ajali wala sio mwendokasi.Hahahahaha unaendesha gari watu wanachungulia majira ya kph🤣🤣🤣 ni mzigo kuwa na abiria waoga namna hio nachopinga ni overtakes za kiboya na kutanua bila taadhari tu ila kama mbele peupe hata ukigonga 180 sio swala.
Hahahahah ni 100 kwenda mbereeMaeneo yote yasiyo na limit ya 50kph napita na mwendo kuanzia 120<<<<<<. Au wewe baada ya 50kph zone unaendesha 80kph Dar-Moshi?
Watu hawajaligi yani dah mpaka kiumaneUjinga huu ndio chanzo cha ajali wala sio mwendokasi.
80KPH ni kwa magari ya mizigo na mabasi, ila kwa gari ndogo unajiachia tu sehem ambazo hamna 50KPH.Ni 80kph mkuu labda wawe wamebadilisha
Mkuu kwa gari ndogo ukimaliza 50KPH unajiachia tu, labda kama ni gari ya mzigo au mabasi.unapita nayo wapi hio speed na muda gani maana yange yange wamechukua sura mpya sahizi ni kujazana road tu kama uyoga
Nakukumbusha tu faini ya kugonga twiga ni 35m...[emoji41][emoji41]
Hali ngumu, watu mko makini watakula wapi?