Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mwaka wa 10 toka nifike kahama mara ya mwisho.Wiki iliyopita nilikuwa nipo Kahama na niliziona LC 300 kama 7 hivi za watu binafsi, kule Toyota amefungua branch kabisa.
Inabidi nirudi nikatembee kidogo.