Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mambo double R, uliadimika hadi nikajua unachukua PhD ya karantini bin korona 😅😅

Ukifika Mombo nipigie niteremke tufanye ligi kidogo kuelekea kaskazini zaidi. Niko na manual gear DKQ 🤪.
Nikionaga mwanamke anaijua vizuri manyo namuheshimu sana; anyway so we Mnyamwezi bado upo mkoani Tanga!? Sorry kwa kuchangia UZI wa zamani
 
Asee kumejengeka mnoo mkuu, nimeona gari ya kila aina, zingine hata kuziona Dar ni adimu ila kule ukikaa kidogo zimepita.
Kahama ni pazuri kwa kiasi chake ila siyo sehemu ya kutishiana kwamba pamejengeka mno labda kama unalinganisha na miaka kumi iliyopita.
Wasalimie SUBMARINE HOTEL,GOOD VALLEY,kuna wale wenzangu wa kitimoto pale Meru Bar,
Piga kelele kwa Phantom yao.

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu utalinganisha Kahama ya sasa na miaka 10 iliyopita? Mie sio mwenyeji wa huko ila kuna shughuli ya siku 2 ilinipeleka huko.
 
Back
Top Bottom