G777
JF-Expert Member
- Aug 1, 2020
- 227
- 604
HahaahahahahaZa kuambiwa changanya na zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaahahahahaZa kuambiwa changanya na zako.
Yes mkuu, ijumaa itakuwa inakata upepo Songea to Moshi kupitia dodoma....Ni ile Mark X?
Na 3gr inatumia mafuta vizuri kuliko 4gr...SiKu ukisukuma kifua cha 3GR hutatamani tena 4GR maana ni nyepesi kuliko kawaida.
Kona za kilimasera Tunduru to NamtumboNa 3gr inatumia mafuta vizuri kuliko 4gr...
😀😀 Nimeisha sukuma machine zenye kifua kipana kuliko hiyo 3GR. 2GR hata 3GR bado nina zi heshimu hata 4GR kwa mazingira yetu ya tanzania ni gari za motoSiKu ukisukuma kifua cha 3GR hutatamani tena 4GR maana ni nyepesi kuliko kawaida.
Kaitoe limiter mkuu3gr hiyo mkuu, mchawi limiter tu hapo..
Kuliko kutoa limiter bora uagize ya 260kph toka hong kong, maana mark x zipo ambazo huitaji kutoa limeterKaitoe limiter mkuu
Duuuh!
Ni sababu ya brake??
Hii njia ina kona sana dah...Kona za kilimasera Tunduru to Namtumbo View attachment 2319387
Ni kweli ila za kwenda nyasa/mbambabay ni zaidi ya hizi...Hii njia ina kona sana dah...
Hii ni ya moto balaa 😂😂😂Kuliko kutoa limiter bora uagize ya 260kph toka hong kong, maana mark x zipo ambazo huitaji kutoa limeter View attachment 2319399
Ila huwa nafikiriaga Mark X ina ulaji mzuri kuliko Crown. Hio ni kama average ya 11.1 km/l kwa mwendo wa 8O kphKona za kilimasera Tunduru to Namtumbo View attachment 2319387
Nilishamwambiaga mtu flani humu 3GR inakula wese vizuri sana kuliko hata 4GR. Engine ina balance nzuri ya power kwenye uzito wa body.Na 3gr inatumia mafuta vizuri kuliko 4gr...
Kuna mwamba aliwahi kutunyoosha mbaya sana na mark x ya 260kph tukiwa kwenye bmw x3, ilikukwa kipande cha kutoka mafinga kuitafuta makambako. Hiyo mark ilikuwa IT na ni usiku jamaa akawa anaomba na mark x yake mshikaji wangu alikuwa anadrive akasema huyu hapenyi hapa. Alichotufanya alituosha tukiwa 220kph na alipotea. Tumekuja kumkuta jamaa makambako puma pale, ikabidi tushuke kumcheki maana hutukuamini ile show aliyofanya. Kuja kucheki ubaoni ana 260kph...Hii ni ya moto balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi mkuu, kuna mshikaji wangu pia ana 3gr kwenye crown yake huwa gauge Yale ya mafuta I inashuka haraka kuliko yanguIla huwa nafikiriaga Mark X ina ulaji mzuri kuliko Crown. Hio ni kama average ya 11.1 km/l kwa mwendo wa 8O kph
Alphard inajiweza sana tu.Hahahahah
ALphard mwendo upo, ile gari ni 168Hp sio haba ndio maana hata Vanguard zinatembea sana. 2AZ ina mwendo bana hata overtake zake sio za wasiwasi.
15 km/LIla huwa nafikiriaga Mark X ina ulaji mzuri kuliko Crown. Hio ni kama average ya 11.1 km/l kwa mwendo wa 8O kph
Sasa sijajua huwa inaniongopea ama ni namna gani...
Kwa ambavyo huwaga zinajichana highway sina doubt kabisa. Huwa znafunguka sana.Alphard inajiweza sana tu.
Haiwezi danganya bana si kitu kiko calibrated kabisaSasa sijajua huwa inaniongopea ama ni namna gani...