Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mtu anayejua gari hawezi fata namba, muhimu ujue mtu anayekuuzia huwa ana treat vipi gari. Kama hohe hahe wengi hawafanyi service kwa
Wakati. Gari inakuwa imechoka. Sasa mtu ana gari 4 za maana anakuuzia moja imenyooka eti kisa namba C ya mwaka 2012 uache ukanunue D ya mwaka 2002?😂😂😂
Kuna crown nimeichukua nilikuwa natamani kama kuna mchongo nisajili kwa namba A 😀😀😀😀 sijaisajili na si subiri namba E
 
Mkuu ni Alphard ya six cylinders au hii yenye four cylinders?kama yenye four Mimi naionaga nzito sijui labda mazoea yangu.
Ni 2AZ (four cyls), inategemea na gari ambayo umezoea kutumia chief, huenda ina power kuliko Aphard (2AZ). Maana kuna watu wanasema Crown (4GR) ni nzito kutokana na magari wanayotumia.
 
Ni 2AZ (four cyls), inategemea na gari ambayo umezoea kutumia chief, huenda ina power kuliko Aphard (2AZ). Maana kuna watu wanasema Crown (4GR) ni nzito kutokana na magari wanayotumia.
Crown ni nzito kama una gari yenye kifua kikubwa zaidi na sports. Kama gari ndio hizi hizi za 170-0 HP hamna kitu kinachoisumbua crown unless ziwe na turbo na superchargers.
 
Back
Top Bottom