Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa juzi jamaa alikuwa hana mtu wa kushindana nae ndio shida 😂😂😂Mwendo mkali kwenye safari ndefu huwa inapendeza angalau kukiwa na kaligi, ukiwa na kampani kwenye gari ya dereva anayeku encourage kupeleka moto, ukiwa unawahi vitu kama msiba/harusi, ukiwa unawahi kurudi kwa mkoloni, ukiwa kwenye mood ya kupeleka moto (maana kuna siku mtu unakuwa huna mood ya mimbio)
Lami laini sana ile af pana 😂😂😂 saingine huwezi jua kumbe mshale umedondoka uko 17OHapana Mzee. 140-150 inatosha sana.
Kwahio hii inaashiria wadau wengi wamekuwa na nidhamu ya kukanyaga kibati 😂😂😂Mafuta yamepanda bei mkuu. Hapo nimekula 9km/L wakati huwa natembea 11km/L
Coaster ya 12H-T ina mwendo, dereva anaweza dumu kwenye 14O km/h muda mwingi hata vilimaniIla coaster....mmmh
Subaru vipi alikuchapa?Labda wanaowekewa mafuta. Ila wengine tumekuwa wapole.
😂😂😂😂😂😂 ningekucheka sana, kwa Crown inavyochomoka vile sioni kokote kwa mtu mwenye 15Ohp kukusumbua ikiwa utaamua kumyoosha. Subaru EJ2O ina nguvu ila sio kama inavyokuwa hyped. Hata mtu mwenye 1.8L ya Toyota kama 2ZZ-GE anaweza kumfua Forester vizuri tu. 2ZZ inafua 18OHp.Ah wapi.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Nimetoka Moshi 1630 sasa hivi 2100 nipo Msata, wale wanasema Dar Moshi masaa matano huwa mnaendeshaje? Maana nimetembea balaa!
Upo right kabisa mkuu, nani na wapi tulikosea kama nchi?,cha kushangaza driving licenses nazo zitoke TRA?hii si sawa,traffic department ndio ihusike na driving licenses, wao ndio ilitakiwa wasimamie utaratibu wa kutoa hizi licenses (mtihani wa maandishi na practical one),tunahitaji systems imara na itakayounganisha nchi nzima,TRA washughulike na ukusanyaji wa kodi kubwa, kodi zingine ziachiwe municipalities/metros kukusanya henceforth kujipatia mapatoNahisi dunia nzima magari yanasajiliwa kwa manispaa na majiji. Na ukihama unaweza sajili tena unapohamia ni kukeep track. Ila tz ndio hivyo TRA ni kila kitu
Fair kabisa tena huo ni mwendo wa kawaida kabisa,Dar to Moshi ni +500kms,wastani wa 120km/h inatakiwa hiyo safari iwe imeisha, Windhoek to Katima mpakani na Botswana na Zambia ni kama 1400kms,watu wanafukia umbali huu kwa 9 to 10 hrs, na huu ni mwendo wa kawaida kabisaNilipata msiba tukatoka Misa muhimbili saa kumj jioni. Maiti ikatangulia Moshi, nikapata lifti ya V8. Boss mwenye gari Kuna mambo alikuwa anaweka saw hapa dar. Tukatoka mikocheni 00:15 hrs, saa 05:26 hrs tuko Moshi mjini tunaisubiri Costa iliyombeba marehemu tupande kibosho. Hatukusimama njiani tulikula kabisa kabla ya safari hata kukojoa hakuna tulisimama pale sheli total Moshi mjini. Chombo chenyewe kama hikiView attachment 2324090
Ila coaster....mmmh
Very true. Nikiona mshale umekengeuka nainua mguu chap.
Hii unapiga 5 hours bila kukamiaNilipata msiba tukatoka Misa muhimbili saa kumj jioni. Maiti ikatangulia Moshi, nikapata lifti ya V8. Boss mwenye gari Kuna mambo alikuwa anaweka saw hapa dar. Tukatoka mikocheni 00:15 hrs, saa 05:26 hrs tuko Moshi mjini tunaisubiri Costa iliyombeba marehemu tupande kibosho. Hatukusimama njiani tulikula kabisa kabla ya safari hata kukojoa hakuna tulisimama pale sheli total Moshi mjini. Chombo chenyewe kama hikiView attachment 2324090
Tuta ndani ya freeway sijui engineers wetu wanafeli wapi, halafu inaonekana hawa engineers wote hapa nchini thesis zao ni kuhusu matuta kwenye freeways, mituta ya mikumi national park ni upuuzi mtupu, mkeka wa iyovi tutas mpaka porini!,down ya mafinga Ile tuta zile zinaua suspension za gari ni crazeKwa coaster ina utata...sijui huyo jamaa alikuwa anaendeshaje especially vile vipande vyenya matuta, maana mitaa ya Iringa barabara imewekwa tutaz za kutosha
Boss alikuwa haendeshi alimpanga dereva mapema akapumzike. Yeye aliendesha mchana kwenye mizunguko yake. Na gari ndani Ina ka fridge aliweka castle lager zake alizibonyeza mbili akalala.Hili dude sio masihara[emoji23][emoji23][emoji23] boss alikuwa anamimina moto. Around 5 hrs na madakika