y-n
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,389
- 2,510
Ukizunguka round about ya Usagara hapo unaitema ya kurudi Shy,unaila y kuitafuta King'ongo Busisi,ila lami flani ivi tamu sana,ina matuta kadhaa lakini,ukivuka tu pale mwamba unakula kama km65 ivi kuitafuta Geita,ukifika round about pale kwenye mnara pale unakula left kuitafuta Katoro baba la baba,unachafua ile mamamae na chafu zote imenyooka ile road ni laana hadi pale junction,ukila kulia unaenda Chato,ukinyooka unaitafuta Katoke,kuibukia Biharamulo iyo mwamba.Jambo la kushuruku Mungu, Brake yalifail mzee baba kitu paaaa [emoji43][emoji94][emoji43][emoji94][emoji43][emoji94][emoji43][emoji94].... Nipo hapa napiga kahawa niliamshe chato then dar es salaam night by night kesho jioni nitakuwa dar es salaam viunga vya manzese View attachment 2330236View attachment 2330235
Kama huna mishe tena Mwanza wakati wa kurudi temana nayo,tembea hadi Runzewe, yaani pale junction usikunje left kurudi tena Katoro kwa akina Kunze,nyoosha goti ibukia Runzewe,unakula lami moja tamu sana kuitafuta Kahama,pale kama huna mambo mengi nyoosha goti kuitafuta Kagongwa,Tinde,kula kulia chuma iume Nzega.
Kuna kama km 100 ivi kuitafuta Igunga,then Igunga pale mpakani kuisaka Dom utachafukwa na 353km,halafu ndo uje uchafukwe nyongo tena na hizi 440+ km Dom kuitafuta jiji letu pendwa.