Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ajabu mkuu Yani kipande Chenye lami mikumi_ruaha the Ruaha-mang'ula vumbi kuna seem nimeisahau ulifika ndo kuna lami ukivuka apo adi ifakara kibaoni pale round about vumbi
Una muda mrefu ujapita hii njia. Japo bado sehumu kubwa kuna vumbi. Ruaha Mang'ula mpaka kiberege almost 70% ni lami. Ukitoa kilami uchwara cha Sululu mpaka Signal. Ujenzi unaendelea toka Signal kuunga Ifakara
 
Naendelea kusoma comments za wenye magari😊
Mkuu pls sio hivyo kabisa, uzi huu sio wa wenye magari pekee, uzi huu ni wa wote na wanaosafiri kwa public transport ndio Safi zaidi,maana picha zako zitakuwa pana zaidi, picha za abiria ndani ya bus, picha za abiria wakipata mlo, changamoto za kusafiri na bus na faida zake, na road trip kwa bus ni safi sana kuliko hizi za private, karibu sana mkuu
 
Habari jamani, mi mdau wenu ila huwa naishia kusoma comments. Nina changamoto naomba mnisaidie maana naamini humu pia kuna mafundi na wajuvi wa hii changamoto yangu.

Leo asubuhi nimewasha gari imewaka vizuri ila kila nikiweka gia(R,N,D) haiingii. Nilihisi zimejilock kwa pembeni palekuna sehemu wameandika Shift Lock nikabonyeza lakini hakuna kilichobadilika. Gari ni Toyota Vanguard na haijawahi kuwa na shida kama hilo, msaada wa elimu kwa mwenye experience na ujuzi.
 
Nimepita mwezi wa sita, kidatu kuna rami? Maana pale panaumiza sana hadi unafika mahenge vumbi to vumbi, wale wakandalasi sijui wanakwama wapi, hii wiki naenda huko tena
Kuanzia geti la maliasili kama unaenda Ifakara unatembea hadi sanje kama sijakosea unakutana na lami, toka hapo Sanje hadi Mang'ula ni mkeka. Yeah kuna vipande vya barabara vumbi kwa kilometa chache mkandarasi bado yupo kazini na mwendo wa kobe hata mimi sielewi anakwama wapi.
 
Back
Top Bottom