Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Ajabu mkuu Yani kipande Chenye lami mikumi_ruaha the Ruaha-mang'ula vumbi kuna seem nimeisahau ulifika ndo kuna lami ukivuka apo adi ifakara kibaoni pale round about vumbiNilifanya kazi Ifakara kama miaka 10 iliopita.
Barabara ilikuwa kimeo sana. Mpaka leo watu wanasema haijakamilika.
Ajabu sana.