Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Kuna Toyota Noah, nimewahi ikuta Mkamba, njia ya Kilombero Ifakara. Dereva analalamikiwa kasimama mbele kushusha raia, akawa anajitetea gari breki hazikamati na ni Auto.Labda utoke D uje D2 Kwa muda then ujimalize na L na hand brake Kwa mbaaaaaali
Tuliongozana nae mida ya jioni, speed aliyokuwa anatembea sio mchezo na abiria kajaza mpaka kwenye buti. Kona za Mangula,mitaa ya Kiberege anavyotembea ni hatari