kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Labda mwana kaamua kutaliiNdio kuna meli zinasafiri kati ya MbambaBay na Itungi...
Lakini sasa atapoteza muda kuanza kuvusha gari na meli kati ya hizo ports mbili...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mwana kaamua kutaliiNdio kuna meli zinasafiri kati ya MbambaBay na Itungi...
Lakini sasa atapoteza muda kuanza kuvusha gari na meli kati ya hizo ports mbili...
Nitakushtua nikipita Mombo ndani ya wiki hii inayokuja. Huwa sipo group yoyote.
karibu mzee, mimi j4 ni mbambabay- mbinga- songea- namtumbo- tunduru- masasi- mnazi mmoja- lindi to dar, na j5 nitakuwa ni Dar- moro- irnga - makambako to mbeya.December 22 ..
Road trip Moshi to lake nyasa bamba bay... Gari Harrier matako ya nyani .. mwenye kujua road ya moshi mpk lake nyasa anipe direction wadau...
Mwezi October tar10 nilikua natoka Songea kupitia makambako, nililikuta tako la Nyani limekula mzinga tairi zote juu maeneo ya Madaba kwa mbele. Umezungumzia kona nikakumbuka hiyo ajali.Moshi mpaka makambako road sio mbaya kivile makambako tu songea ndio inatakiwa umakini na ilo tako la nyani na kona sio mchezo.kama unarudia mbeya kutoka kyela kuja uyole napo umakini pia na hizi mvua usije kuingia porini
Azingatie huu ushauri ni hatari na nusuHio kvaaa ni ile inapoteza kumbukumbu? Usifanye hivyo mkuu. Hata ikitokea umechomekewa watu watajaji hio kvaa.
Balaa kubwa utalikuta kuanzia Njombe to Songea kona zake sio mchezoIle barabara ya kyela-uyole-mbeya ndo siiifaham kbsaa .. unaweza nipa hits.. iliwakat wa kurud niwe na ABC nayo..
Acha kuendesha gari ukiwa umelewa kama unasinzia simamisha gari ulale uondoe usingiziMkuu bila Kvaaaaaa safari za mbali huwa nasinziaa balaaaa.. so Kvaaaaaa huwa inanichangamsha .. nakunywa kwa wastanii na Kvaaaaaa inanipa umakini sanaaa
Kingine kwenye kona asile denge apite upate wake tena kwa msisitizo. Hatari ya kupita upende usio wako balaa lake sio dogo.Mkuu nimekuambia barabara ya njombe mpaka songea inakona tena mbaya wacha nikueleze tu ukweli ili ujue kama hujawahi kupiti hio barabara.pili kutokana gari unayoenda nao huko kama ni mtu wa mbio kuingia kwenye makorongo sio kitu ya kuuliza
Wakuu mbona mnanitishaa aiseee.. na hii gari tako la nyani... mtasababisha niwe naendesha na pressure...Kingine kwenye kona asile denge apite upate wake tena kwa msisitizo. Hatari ya kupita upende usio wako balaa lake sio dogo.
Nilikua natoka Songea to makambako basi kwenye zile kona kuna jamaa alikua na Rumion akasahau kupita side yake akabana sana kwangu aisee ni Mungu tu aliokoa ile ajali. Huko mbele mbele nikaiukuta harrier miguu juu, awe makini
Me kwangu dawa ya usingiz ni Kvaaaaaa...Acha kuendesha gari ukiwa umelewa kama unasinzia simamisha gari ulale uondoe usingizi
Hiko kitu sio ukweliMe kwangu dawa ya usingiz ni Kvaaaaaa...
UMAKINI NI KOKOTE. Haijalishi barabara ni nzuri kiasi gani vyombo vys Moto havichagua pakukupiga chini. Tuwe makni mwenzo mwishoMoshi mpaka makambako road sio mbaya kivile makambako tu songea ndio inatakiwa umakini na ilo tako la nyani na kona sio mchezo.kama unarudia mbeya kutoka kyela kuja uyole napo umakini pia na hizi mvua usije kuingia porini
Ya mungu mengi. Acha hii kitu kaka. Acha hata kuonja ukiwa unaendesha.Mkuu bila Kvaaaaaa safari za mbali huwa nasinziaa balaaaa.. so Kvaaaaaa huwa inanichangamsha .. nakunywa kwa wastanii na Kvaaaaaa inanipa umakini sanaaa
Duh mnamtisha na yeye Ana HarrierKingine kwenye kona asile denge apite upate wake tena kwa msisitizo. Hatari ya kupita upende usio wako balaa lake sio dogo.
Nilikua natoka Songea to makambako basi kwenye zile kona kuna jamaa alikua na Rumion akasahau kupita side yake akabana sana kwangu aisee ni Mungu tu aliokoa ile ajali. Huko mbele mbele nikaiukuta harrier miguu juu, awe makini
Ni gari nzuri inakimbia kama sedan ila kikitokea kitu cha ghafla maneuverability yake sio kama sedan ndio unaikuta miguu juu kichakani.Wakuu mbona mnanitishaa aiseee.. na hii gari tako la nyani... mtasababisha niwe naendesha na pressure...
Anyway huwa Kvaaaaaa inanipa comfort sana....
Malizia mkuu.. tako la nyani... maana harrier zipo za aina nying sanaDuh mnamtisha na yeye Ana Harrier
Hiyo J5 tukikutana njiani pls give a big hoot, tumo wengi kwenye road trip kipindi hikikaribu mzee, mimi j4 ni mbambabay- mbinga- songea- namtumbo- tunduru- masasi- mnazi mmoja- lindi to dar, na j5 nitakuwa ni Dar- moro- irnga - makambako to mbeya.
Driving sio speed pekee, usalama wako na wengine ni key factor, Umeonywa kuhusu Makambako to Songea, ni kweli kuna Lukumburu Pass, ni balaa tupu na Dodoma to Iringa kuna nyang'olo Pass, ni kuwa safe mkuuMalizia mkuu.. tako la nyani... maana harrier zipo za aina nying sana