Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

December 22 ..

Road trip Moshi to lake nyasa bamba bay... Gari Harrier matako ya nyani .. mwenye kujua road ya moshi mpk lake nyasa anipe direction wadau...
karibu mzee, mimi j4 ni mbambabay- mbinga- songea- namtumbo- tunduru- masasi- mnazi mmoja- lindi to dar, na j5 nitakuwa ni Dar- moro- irnga - makambako to mbeya.
 
Moshi mpaka makambako road sio mbaya kivile makambako tu songea ndio inatakiwa umakini na ilo tako la nyani na kona sio mchezo.kama unarudia mbeya kutoka kyela kuja uyole napo umakini pia na hizi mvua usije kuingia porini
Mwezi October tar10 nilikua natoka Songea kupitia makambako, nililikuta tako la Nyani limekula mzinga tairi zote juu maeneo ya Madaba kwa mbele. Umezungumzia kona nikakumbuka hiyo ajali.
 
Mkuu nimekuambia barabara ya njombe mpaka songea inakona tena mbaya wacha nikueleze tu ukweli ili ujue kama hujawahi kupiti hio barabara.pili kutokana gari unayoenda nao huko kama ni mtu wa mbio kuingia kwenye makorongo sio kitu ya kuuliza
Kingine kwenye kona asile denge apite upate wake tena kwa msisitizo. Hatari ya kupita upende usio wako balaa lake sio dogo.

Nilikua natoka Songea to makambako basi kwenye zile kona kuna jamaa alikua na Rumion akasahau kupita side yake akabana sana kwangu aisee ni Mungu tu aliokoa ile ajali. Huko mbele mbele nikaiukuta harrier miguu juu, awe makini
 
Wakuu mbona mnanitishaa aiseee.. na hii gari tako la nyani... mtasababisha niwe naendesha na pressure...

Anyway huwa Kvaaaaaa inanipa comfort sana....
 
Moshi mpaka makambako road sio mbaya kivile makambako tu songea ndio inatakiwa umakini na ilo tako la nyani na kona sio mchezo.kama unarudia mbeya kutoka kyela kuja uyole napo umakini pia na hizi mvua usije kuingia porini
UMAKINI NI KOKOTE. Haijalishi barabara ni nzuri kiasi gani vyombo vys Moto havichagua pakukupiga chini. Tuwe makni mwenzo mwisho
 
Kingine kwenye kona asile denge apite upate wake tena kwa msisitizo. Hatari ya kupita upende usio wako balaa lake sio dogo.

Nilikua natoka Songea to makambako basi kwenye zile kona kuna jamaa alikua na Rumion akasahau kupita side yake akabana sana kwangu aisee ni Mungu tu aliokoa ile ajali. Huko mbele mbele nikaiukuta harrier miguu juu, awe makini
Duh mnamtisha na yeye Ana Harrier
 
Nimeungia home muda huu,

Jumatano nili drive DAR to NAI via Arusha na Namanga.

Niliondoka sa6 usiku, Nilifika Nairobi sa8 mchana kesho yake.

Safari nimejifunza mengi

Kusafiri na gari nje ya nchi,
Barabara za Nairobi, japo kwa uchache.

Uchovu ninao mkali sana, tuliondoka Nairobi jana sa6 kama kawa, nimeingia DAR Sa8.

Tulikuwa tunasaidiana wawili kuendesha,

Was nice trip but short of time.
 
Back
Top Bottom