Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji1787]

Mkuu Nkanini

Mkitoka nakonde zero five (05:00)

Kulala Kapiri mposhi au Kabwe ni uhakika

Ila muwe makini na zile handaki pale

Danger hill na kule bwawa la samaki

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mkuu chupuchupu nipoteze gari pale loooooo, yaani ni mahandaki ambayo vifaru 3 vinaweza potea, shit Zambia hiki kipande cha nakonde to serenje kipo fucktap
 
[emoji1787]

Mkuu Nkanini

Mkitoka nakonde zero five (05:00)

Kulala Kapiri mposhi au Kabwe ni uhakika

Ila muwe makini na zile handaki pale

Danger hill na kule bwawa la samaki

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mkuu kabwe au kapiri mposhi looo, wewe itabidi uwe pointer wetu mimi serenje kituo, ila wewe kama una uwezo wa kufika kabwe..welldone, ila nikianza serenje mkuu ni moto mkubwa hadi livingstone na Ile border ingekua 24hrs basi ni kituo Kasane
 
Mwendo wangu wa jongoo

Kufika Kapiri natumia siku mbili

Kutokea Nakonde

Nyie za kwenu cha upepo ni kuteleza tu

Kama Mbwe na Power tools zinaingia Lusaka

Saa 22:00 nyie mtashindwa Nini?

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Mwendo wangu wa jongoo

Kufika Kapiri natumia siku mbili

Kutokea Nakonde

Nyie za kwenu cha upepo ni kuteleza tu

Kama Mbwe na Power tools zinaingia Lusaka

Saa 22:00 nyie mtashindwa Nini?

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Upo right mkuu ,power tools iwe ndio pointer, hizi buses zinaondoka nakonde around 4am
 
Hapo kila mmoja apambane na hali yake.
Wamebutuana katikati kwenye barabara ya Mwendokasi.
Boda ameinuka hapo hapo akaanza sukuma pikipiki kuvuka barabara na wakati huo gari zinaendelea kupita.
Sijui ndio kuvurugwa🥺.
Alibeba mitungi ya gas, yote ipo chini na boda imebomoka.
Gari amekimbia.
Alikuwa anachepuka zile barabara ndogo za pale Kimara
 
Back
Top Bottom