Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nishafukia km 1131.2 jana na leo
IMG_20230120_210541.jpg
 
Atatumiss atakuja. Huu uzi hata ukiusahau, siku ukiwa unapiga trip utaukumbuka
Yeah mkuu,maana ni uzi pekee unaopata latest informations kuhusiana na road trips, binafsi lazima niupitie almost kila siku, wanaosafiri kati ya nakonde na kapiri...du hii sehemu ya bwawa la samaki inatisha, wametia kifusi,ila pls pls pls kuanzia serenje hadi chinsali pita mchana tu, narudia tena pita mchana tu, usiku it's a No
 
Back
Top Bottom