Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 893
Mshindo kama huo hazisaidii chochote mkuuHalafu hizi ma-airbag kumbe hazisaidii kwenye mshindo heavy na sioni hata kama zimedeploy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshindo kama huo hazisaidii chochote mkuuHalafu hizi ma-airbag kumbe hazisaidii kwenye mshindo heavy na sioni hata kama zimedeploy
Unatoa wapi hizi mapicha zake?Kijana mdogo sana aiseeView attachment 2520122
W mwenyewe siuneona ilivyochakaa mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka hapo umeandika kama imepigwa bomu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna group niliona jana wametupia hyo ajaliUnatoa wapi hizi mapicha zake?
Acha tu mzigo nyang'anyang'aW mwenyewe siuneona ilivyochakaa mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan hautamanikiAcha tu mzigo nyang'anyang'a
Ujana+powerful car=early death.Kijana mdogo sana aiseeView attachment 2520122
Maskiniii hadi damuu zimetapakaa njiani,Dah....inasikitisha sana, ni kijana mdogo mno[emoji24]View attachment 2520108View attachment 2520107View attachment 2520109View attachment 2520106
Duuuh mkaka mzuri.
Inatisha sana[emoji24]Maskiniii hadi damuu zimetapakaa njiani,
Tobaaaaa!!! Had nimeogopaaaa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Huyu Kaka kafa vibayaa, hadi damu kumwagika hvyoo.Inatisha sana[emoji24]
Ajali ilikuwa mbaya sanaHuyu Kaka kafa vibayaa, hadi damu kumwagika hvyoo.
Uwiiiiih
Tenaa mnooo.Ajali ilikuwa mbaya sana
Freeways huwezi endesha speed hiyo, Freeways kisheria pedestrians, stray animals, bodaboda ni marufuku, na huwezi kuweka matuta kwenye Freeways, weka speed camerasManufacturer wa vyombo vya moto wameweka variation ya speed kwenye speedometer wakijua kabisa hauta endesha kwa constant speed!!
Yaani umeilalamikia 50km/h kana kwamba barabara yote mwanzo mpaka mwisho wa safari yako huruhusiwi kuzidi speed hiyo.
Hebu taja maeneo ambayo unahisi zone ya 50km/h imewekwa kimakosa..
Mark X full kipupwe, full mziki... Driver not very much experienced
Fatigue hii,shame!,pia hizi speed ni muhimu ujue physics yake, kwenye hizi slow corners au speed corners ni muhimu ujue breaking zones zake, Na pia lazima ujue kuendesha kwenye driving line ndani ya barabara.
Safiri salama mkuuWazee wa roads trips hasa usiku, Leo ndani ya T1,Dar to Tunduma tuonane, kituo msamvu around 1800 hrs,tuombeane heri
Inategemea kuna V8 moja ya uhamiaji ukiiona ilivyoharibika huwezi amini kama waliokuwemo walitoka safely.Halafu hizi ma-airbag kumbe hazisaidii kwenye mshindo heavy na sioni hata kama zimedeploy
Hauna picha ya hiyo v8?Inategemea kuna V8 moja ya uhamiaji ukiiona ilivyoharibika huwezi amini kama waliokuwemo walitoka safely.