Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Manufacturer wa vyombo vya moto wameweka variation ya speed kwenye speedometer wakijua kabisa hauta endesha kwa constant speed!!

Yaani umeilalamikia 50km/h kana kwamba barabara yote mwanzo mpaka mwisho wa safari yako huruhusiwi kuzidi speed hiyo.

Hebu taja maeneo ambayo unahisi zone ya 50km/h imewekwa kimakosa..
Freeways huwezi endesha speed hiyo, Freeways kisheria pedestrians, stray animals, bodaboda ni marufuku, na huwezi kuweka matuta kwenye Freeways, weka speed cameras
 
Back
Top Bottom