Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG_0255.jpg

IMG_0258.jpg
 
Unakuta kala kamodo keusi akafuliwagi yani, alafu kakata chini.. kavaa na kakipedo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na kafunga sound yake ya kupiga michiriku
Madogo watukutu plus usumbufu debe, kuna mmoja namuona kwenye rear view umbali kati yangu na yeye ni kama mita moja au mbili nikawaza hivi nikishika brake si itakuwa majanga.. mie huwa naangalia usalama kisha naruhusu apite aende zake
 
Back
Top Bottom