ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Na wakati niko korogwe wewe uko msata na ukanikuta kabla ya Same!
Usingepaki nisingekaa nikufikie. In fact nilikaribia kukata tamaa mpaka ulivyosema upo korogwe wakati huo ndio nimetoka segera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wakati niko korogwe wewe uko msata na ukanikuta kabla ya Same!
Au ukute na yeye alikuwa bado Magomeni huko [emoji23]
Wabongo ni noma
5W30Ndugu zangu habari, naomba kujua recommended oil nzuri kwa Toyota Axio “saloon”. Wataalamu naombeni msaada wenu nisije mix mafaili.
Gari Ina umri gani? Kilometa ngapi?
5W30
Shacman F3000 truckChombo nimeanza nayo 0 klm
02/02/2023 bd naendeleza kilometres zisome zaidi[emoji847]View attachment 2529348
Truck hapo ni just On!Hii ni bus au truck? Hapo imewaka au just ON?
Mule mule jombaa[emoji1666]Shacman F3000 truck
Oohh kwa mileage hiyo sawaHii ni recommended lakini kwa gari zenye low mileage ila gari zetu hizi 5w40 offers more protection
Weichai Cummins Engine bado mbichi kabisaMule mule jombaa[emoji1666]
Yap nainjoy maisha mdg mdg[emoji847]Weichai Cummins Engine bado mbichi kabisa
Jambo dogo sana hiliWangapi mna huu ujasiri?View attachment 2528470
Kumbe huyu ndo Sossy magariView attachment 2535922