Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mkuu wenyewe wanadai nchi imefunguka[emoji1787] sasa hivi A town watu wanatembelea magari sio vyombo vya usafiri. Kwa mfano LC 300 series plate alphabet E zipo kama uchafu sa hvi Kila Kona lazma utapishana nayo tu wakati 2020 LC 200 series nyingi zilikua STL, DFP huko [emoji1787]
Daaah hadi GT-R alooo [emoji28]
 
Kama vijana wenyewe ndio hawa kina Makamba Jr, Kikwete Jr and co, basi usitegemee lolote
No mkuu tunahitaji vijana wapya sio kutoka royal families, sitaafisha wote above 40yrs jeshi la police, itisha interview ya graduates nchi nzima, usaili then unabakiwa na 10,000, hawa ndio wataunda msingi wa jeshi la police, 1000 training USA, 500 UK,1500 Botswana (traffic officer's),800 canada hawa ni foresinc investigations, 1500 Israel hawa ni special unit to deal with hostage &terrorism, then after 2yrs tuna jeshi super
 
Una akili sana umeongea point kubwa sana
 
Back
Top Bottom