BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hiyo ndio road trip ya kibabe full of experience.. wish all the best mkuuIpo mwezi wa 9 mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndio road trip ya kibabe full of experience.. wish all the best mkuuIpo mwezi wa 9 mzee
Noted with thanks, nitazingatia mkuu.Tanzania kuendesha zaidi ya 120 ni kujitafutia majanga.. Hamna barabara inaruhusu hiyo speed Tanzania
Nipo Wakuu majukumu na safari za nje ya nchi kidogo zilikuwa kede kede. Ila nipo. Nissan Safari Ipo na Majesta ipo ni gari za safari. UKINUNUA GARI USIANGALIE CHA MWARABU; WEWE ANGALIA COMFORTABILITY YA GARI NA ULIIENJOY GARI HATA KAMA UNATUMIA MILLION KUTOKA DAR KWENDA ARUSHA - ISHU NI RAHA YA GARI ACHANA NA MAFUTAInawezekana maana ni kipindi kirefu hasomeki hapa....jamaa ndo pekee aliekuwa hiyo petrol guzzler machine na kuielezea hapa jukwaani
binsalum umeichukua ipi kati ya hizo
Nipo Sikonge Tabora, huku yapo mengi sana kama yalimwagwa huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc ExtrovertWakuu hawa watoto wa arusha wanatoa wapi hela trackhawk na Nissan GT-R zipo A town[emoji119]View attachment 2622662
Mkuu zipo barabara zilizonyooka zaidi ya km 3 na hazina jam ndo uendeshe below 120?unamaanisha hiyo 120 iwe constantly au?Tanzania kuendesha zaidi ya 120 ni kujitafutia majanga.. Hamna barabara inaruhusu hiyo speed Tanzania
Wish kwenye mwendo zinajitahidiMwezi wa 7 nimeplan road tour kali sana from Dar to Musoma to Tarime na kurudi na gari ntakayotumia ni 2010 Toyota Wish 1800cc 2ZR-FAE.
Kwa uzoefu wa wanaroad trip hii gari itaweza kwenda na kurudi? (1330km x 2) Gari bado ni mpya no E.View attachment 2636511
Sheria tuu ya tz top ni 80Mkuu zipo barabara zilizonyooka zaidi ya km 3 na hazina jam ndo uendeshe below 120?unamaanisha hiyo 120 iwe constantly au?