Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

FB_IMG_1684657600359.jpg
 
Mwezi wa 7 nimeplan road tour kali sana from Dar to Musoma to Tarime na kurudi na gari ntakayotumia ni 2010 Toyota Wish 1800cc 2ZR-FAE.

Kwa uzoefu wa wanaroad trip hii gari itaweza kwenda na kurudi? (1330km x 2) Gari bado ni mpya no E.
wish.jpg
 
Inawezekana maana ni kipindi kirefu hasomeki hapa....jamaa ndo pekee aliekuwa hiyo petrol guzzler machine na kuielezea hapa jukwaani

binsalum umeichukua ipi kati ya hizo
Nipo Wakuu majukumu na safari za nje ya nchi kidogo zilikuwa kede kede. Ila nipo. Nissan Safari Ipo na Majesta ipo ni gari za safari. UKINUNUA GARI USIANGALIE CHA MWARABU; WEWE ANGALIA COMFORTABILITY YA GARI NA ULIIENJOY GARI HATA KAMA UNATUMIA MILLION KUTOKA DAR KWENDA ARUSHA - ISHU NI RAHA YA GARI ACHANA NA MAFUTA
 
Hapo sikonge kuna matajiri kama watano wanayo toka enzi za miaka ya tisini,wa kwanza kulileta alikuwa Mzee hemmed Nasoro mmiliki wa sabena bus akifuatiwa na wale waarabu wa kule misheni na nakumbuka hata kituo cha FDC walikuwa nayo
Nipo Sikonge Tabora, huku yapo mengi sana kama yalimwagwa huku[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania kuendesha zaidi ya 120 ni kujitafutia majanga.. Hamna barabara inaruhusu hiyo speed Tanzania
Mkuu zipo barabara zilizonyooka zaidi ya km 3 na hazina jam ndo uendeshe below 120?unamaanisha hiyo 120 iwe constantly au?
 
Back
Top Bottom