Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Aisee....
Aaabeeeh Baba Taibali....π€ͺπ€ͺπ π π πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....
In terms of cost, it would be cheaper mngeendesha. Taxi zitawapiga. In terms of convenience, nothing beats private.
In terms of experience then S.G.R may offer more. Masaa mangapi typical transit times Dar mpak Dom?
Haswaaa bibi nikiwa nakanyaga mafuta, nanyoosha goti haswaa.Bange za Kasinde sio, sema ndo ilikuwa miaka hiyo saa hii nakula pensheni tamuuu.
Kunyoosha magoti nawaachia nyie wajukuu.
Aisee siku hizi motorway zote wamejaza speed camera za kutosha, mpaka hamna hata raha ya kuendesha huko,Hebu peleka hio Skoda M6 toll ukaitoe carbon achana na hizo A roads,
πππAilaaavuuuyuuuu duraivingii....π€©π€©π€©
Me in love with cars, but not VolksW..... (no offence pls).
Amu inilavuu with Nissan Patroli Nyeupe halafu iwe tinted kote uweeeeh....ππππ.
Jokes aside, nice view while driving.
πππ
Ailaavuyu laving mai duraivingii...
Huyu mnyama sio VW, hata Wamaasai wanamjua , ni namba chafu
View attachment 3018369
Mzee unamwaga maji tuπ 140kph plus ni zaidi ya SGR najua kuna raia watapimana nalo tu.Aaa wapi sio na foleni za yale malori na 140-150kph. Siwezi kuendesha 120 or below.
Kale ka moment ka "Usintanie wewe" unachungulia kulia kisha unaomba chumba πUnaweza kuamua leo natembea max 120kph mara Rumion inapita kwa mbwembwe
Mrejesho:Hello waheshimiwa.
Nina safari ya Kahama-Dar mwezi huu, zaidi ya kilometer 1,000.
Umbali niliowahi kuendesha gari non stop ni kilometer 300 tu.
Je nitatoboa? Mna ushauri gani?
Gari ndogo cc 1490.
Mshana Jr
Wakati huo unasema ngoja nimwonyeshe huyu dogo ilhali huenda dereva ana umri wa baba yakoKale ka moment ka "Usintanie wewe" unachungulia kulia kisha unaomba chumba π
Singida wasumbufu kuliko Pwani na Morogoro?Mrejesho:
Nilifika salama. Shida ni Matrafiki hasa mkoa wa singida. Ni wasumbufu sana.
Kutoka Dodoma Hadi Dar sikusimamishwa na traffic hata mara Moja , kwenda na kurudi. Usumbufu upo kuanzia Nzega Hadi mkoa mzima wa singida.Singida wasumbufu kuliko Pwani na Morogoro?
Mida gani ulipita barabara ya Msamvu - Dar? Mkuu ni muujiza huo unaouzungumziaKutoka Dodoma Hadi Dar sikusimamishwa na traffic hata mara Moja , kwenda na kurudi. Usumbufu upo kuanzia Nzega Hadi mkoa mzima wa singida.
Mida gani ulipita barabara ya Msamvu - Dar? Mkuu ni muujiza huo unaouzungumzia
Moro saa 4 AsubuhiMida gani ulipita barabara ya Msamvu - Dar? Mkuu ni muujiza huo unaouzungumzia
Dereva anamwaga maji balaaWakati huo unasema ngoja nimwonyeshe huyu dogo ilhali huenda dereva ana umri wa baba yako
Ingeeleweka zaidi ungesema muda ulitoka Dar na muda uliofika Moro wakati unaenda, na muda uliotoka Moro na muda uliofika Dar wakati unarudi.Moro saa 4 Asubuhi
Ndio nifanyavyo mimi. Natii sheria zote. Nafuatq mistari na 50kph naziheshimu.Ingeeleweka zaidi ungesema muda ulitoka Dar na muda uliofika Moro wakati unaenda, na muda uliotoka Moro na muda uliofika Dar wakati unarudi.
Kwa mfano kama ulitumia masaa 5Β½ njia hiyo mchana kweupe maana yake ulifuata sheria zote, especially ku overtake kwenye mistari. Hapo utatoboa. Otherwise mkuu ulikuwa na bahati sana. Hiyo njia ina traps nyingi sana za traffic.