Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

ISO M.CodD average 150kph hio
Screenshot_20240824_163854_Speedometer.jpg
 
My record is 1 hr 50 minutes Msamvu mpk Mbezi. Kama unakaa Kibaha, Mbezi, Kinyerezi unaweza kuwahi zaidi nyumbani ukitumia barabara kuliko ukienda kupanda SGR.

Siku tufanye comparison ianzie pale Kihonda. Mmoja akapande SGR mwingine atembee na chuma. Meeting point iwe Mbezi.
 
Hao wanapandia Pugu. Wengi wanafanya hivyo.
 
My record is 1 hr 50 minutes Msamvu mpk Mbezi. Kama unakaa Kibaha, Mbezi, Kinyerezi unaweza kuwahi zaidi nyumbani ukitumia barabara kuliko ukienda kupanda SGR.

Siku tufanye comparison ianzie pale Kihonda. Mmoja akapande SGR mwingine atembee na chuma. Meeting point iwe Mbezi.
Kwanini meeting point iwe Mbezi? Kila mtu afikie kwenye kituo chake. Acha hio utaishia nyuma ya lorry huku wenzio wanatiririka na 160kph sipping coffee.
 
My point is practicality. Tukiagana msamvu, mmoja aende stesheni, asubiri, aaanze safari, afike, then ahangaike na usafiri wa Dar kufika nyumbani Mbezi, na mwingine acruise na Morogoro road, huenda wa road akawahi. Practically. Maybe.

And you don't need to even hit 160kph kupiga Dar Moro in less than 2hrs. All you need is an engine with good pickup from 50 - 150kmph

On the other hand, barabarani kuna variables nyingi sana. Maafande, and sometimes gari zinaharibika na kusababisha foleni. SGR ina fewer variables so far. And kushukia Pugu means unaweza kubolt mpaka Mbezi in 30mins, making SGR practical as well.

TL;DR Kituo cha Pugu kinaifanya SGR iwe practical kwa wakazi wa maeneo hayo pia, ila ingekuwa kituo ni mjini tu - heri utembee na barabara kuliko uwahi Dar kisha upoteze 1.5 hours kutoka stesheni mpaka nyumbani
 
Gari sasa hivi sio chini ya masaa matatu. Halafu nasikia kituo cha Soga ni karibu na Kibaha.
 
My point is practicality. Tukiagana msamvu, mmoja aende stesheni, asubiri, aaanze safari, afike, then ahangaike na usafiri wa Dar kufika nyumbani Mbezi, na mwingine acruise na Morogoro road, huenda wa road akawahi. Practically. Maybe.

And you don't need to even hit 160kph kupiga Dar Moro in less than 2hrs. All you need is an engine with good pickup from 50 - 150kmph

On the other hand, barabarani kuna variables nyingi sana. Maafande, and sometimes gari zinaharibika na kusababisha foleni. SGR ina fewer variables so far. And kushukia Pugu means unaweza kubolt mpaka Mbezi in 30mins, making SGR practical as well.

TL;DR Kituo cha Pugu kinaifanya SGR iwe practical kwa wakazi wa maeneo hayo pia, ila ingekuwa kituo ni mjini tu - heri utembee na barabara kuliko uwahi Dar kisha upoteze 1.5 hours kutoka stesheni mpaka nyumbani
Na sababu kuu ya wengi wetu kupanda treni ni
1.Gharama nafuu 26,000 compared to fuel bill
2. Stress-free ride,you can work while cruising at 160kph
3. Comfortability and safety
The last two are priceless.

So hata driving ikija kuwa ni 1.5hra still I will take SGR.
 
Back
Top Bottom