Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yupo South Africa now.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo South Africa now.
Dah unajua sijaipanda hio kitu bado. Ngoja ntafute trip ya Moro hata next weekend.Ukiwa humo ndani hata hujui kuwa ina cruise at 160kph
Ooh ngoja nitafte safari this coming weekend.Hutajutiq mkuu. Niko samaki samaki moro now
samaki samaki nilikuwa na demu wangu 2022 mwezi wa saba, mala ya mwisho kumpata sijui yupo hai au kafa..Hutajutiq mkuu. Niko samaki samaki moro now
Hili dude safi sana. Safi mno.
Hao wanapandia Pugu. Wengi wanafanya hivyo.My record is 1 hr 50 minutes Msamvu mpk Mbezi. Kama unakaa Kibaha, Mbezi, Kinyerezi unaweza kuwahi zaidi nyumbani ukitumia barabara kuliko ukienda kupanda SGR.
Siku tufanye comparison ianzie pale Kihonda. Mmoja akapande SGR mwingine atembee na chuma. Meeting point iwe Mbezi.
Kwanini meeting point iwe Mbezi? Kila mtu afikie kwenye kituo chake. Acha hio utaishia nyuma ya lorry huku wenzio wanatiririka na 160kph sipping coffee.My record is 1 hr 50 minutes Msamvu mpk Mbezi. Kama unakaa Kibaha, Mbezi, Kinyerezi unaweza kuwahi zaidi nyumbani ukitumia barabara kuliko ukienda kupanda SGR.
Siku tufanye comparison ianzie pale Kihonda. Mmoja akapande SGR mwingine atembee na chuma. Meeting point iwe Mbezi.
Basi hapo wameua. Sio kwamba unawahi Dar tu bali unawahi destination yako pia.Hao wanapandia Pugu. Wengi wanafanya hivyo.
My point is practicality. Tukiagana msamvu, mmoja aende stesheni, asubiri, aaanze safari, afike, then ahangaike na usafiri wa Dar kufika nyumbani Mbezi, na mwingine acruise na Morogoro road, huenda wa road akawahi. Practically. Maybe.Kwanini meeting point iwe Mbezi? Kila mtu afikie kwenye kituo chake. Acha hio utaishia nyuma ya lorry huku wenzio wanatiririka na 160kph sipping coffee.
Gari sasa hivi sio chini ya masaa matatu. Halafu nasikia kituo cha Soga ni karibu na Kibaha.My point is practicality. Tukiagana msamvu, mmoja aende stesheni, asubiri, aaanze safari, afike, then ahangaike na usafiri wa Dar kufika nyumbani Mbezi, na mwingine acruise na Morogoro road, huenda wa road akawahi. Practically. Maybe.
And you don't need to even hit 160kph kupiga Dar Moro in less than 2hrs. All you need is an engine with good pickup from 50 - 150kmph
On the other hand, barabarani kuna variables nyingi sana. Maafande, and sometimes gari zinaharibika na kusababisha foleni. SGR ina fewer variables so far. And kushukia Pugu means unaweza kubolt mpaka Mbezi in 30mins, making SGR practical as well.
TL;DR Kituo cha Pugu kinaifanya SGR iwe practical kwa wakazi wa maeneo hayo pia, ila ingekuwa kituo ni mjini tu - heri utembee na barabara kuliko uwahi Dar kisha upoteze 1.5 hours kutoka stesheni mpaka nyumbani
Na sababu kuu ya wengi wetu kupanda treni niMy point is practicality. Tukiagana msamvu, mmoja aende stesheni, asubiri, aaanze safari, afike, then ahangaike na usafiri wa Dar kufika nyumbani Mbezi, na mwingine acruise na Morogoro road, huenda wa road akawahi. Practically. Maybe.
And you don't need to even hit 160kph kupiga Dar Moro in less than 2hrs. All you need is an engine with good pickup from 50 - 150kmph
On the other hand, barabarani kuna variables nyingi sana. Maafande, and sometimes gari zinaharibika na kusababisha foleni. SGR ina fewer variables so far. And kushukia Pugu means unaweza kubolt mpaka Mbezi in 30mins, making SGR practical as well.
TL;DR Kituo cha Pugu kinaifanya SGR iwe practical kwa wakazi wa maeneo hayo pia, ila ingekuwa kituo ni mjini tu - heri utembee na barabara kuliko uwahi Dar kisha upoteze 1.5 hours kutoka stesheni mpaka nyumbani
Yani mtu anawaza ashindane na SGRKwanini meeting point iwe Mbezi? Kila mtu afikie kwenye kituo chake. Acha hio utaishia nyuma ya lorry huku wenzio wanatiririka na 160kph sipping coffee.