Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 974
- 2,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa naona class C1 na C2 zina trailers ila zipo kama ni gari za abiria. Ila binafsi huwa kuna wakati navuta trailer kwenye Suzuku Escudo ila sijawahi simamishwa na trafiki. Sina hizo class pia wala kibali tofauti na leseni yangu ya Mtanzania.Hivi wazee wa road trip , nikihitaji kuvuta kile ki-trailer kwa SUV yangu nahitaji kibali maalum au Lessen class gan naruhusiwa?
Simba wapo wapi katika hiyo routeUtaliwa na simba wewe..
Oya wazee boxer 150 inaweza kwenda dar shinyanga bila matatizo yoyote?
Hahaaaa wazee wa road trips Hamna pichaJamani hamjaanza kusaga lami? Tupieni picha
Kha! Wee mnyamwezi mzaramo nini🤣🤣🤣🤣🤣Ndugu yangu, hukihurumii kibamia kitakuwa na hali gani hadi ufike Shinyanga...!!??🤣🤣🤣🤣
Pata picha kwenye tuta unarushwa juu hata kama umeshikilia mikono ya pikipiki ila kiuno kitarushwa juu usawa wa kwenda nyuma, kikirudi kwenye siti ya bodaboda breki mbupu, sasa kwa mtaji huu kitazidi kuwa dwarf.....😆😆😆😆
Labda ukitafutie helmet yake maana na chenyewe ni kichwa aahahhahahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa hesabu idadi ya matuta njia nzima toka Dar hadi Shinyanga, namna utakuwa unakisulubu kibamia 😅😅😅😅😅, kama wewe hukihurumii wafikirie basi wanaokitumia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️.
Hakyamungu akili za Kasinde mie mwenyewe zimenishinda eeheheheheeee 😆😆😆😆😆😆😆😆
Kha! Wee mnyamwezi mzaramo nini🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa helmet ya kibamia naitoa wapi?
Wacha nipige hiyo road trip madam, nitest boxer yangu kama ina mapafu ya kutoka dar mpaka shy town
Hivi ile JF road trip iliishia wapi? Kulijuwa na group kabisaNgoja niendeleze kusema akili ya Kasinde vile inawaza.....🤔🤔🤔🤔
Hivi ujue umeongea tungo tata pale juu kwenye umeuliza swali....!!😅😅
Isijekuwa ulimaanisha boksa kaptura yaani uliuliza kama unaweza safiri ukiwa umevaa boksa tuu toka Dar hadi Shinyanga...!!!??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️.
Haya wacha niondoke hapa 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️sirudi tena sitaki kukwaza watu msimu wa Sikukuu huu😊.
Kila la heri na safari njema, wasalimie Gambosh ukifika huko.
Wasafiri msafiri salama mrudi salama makwenu.