BrainOs
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 173
- 292
Petrol?Leo ni Mbeya to Dar na huu mnyama, 3.0 twin turbo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Petrol?Leo ni Mbeya to Dar na huu mnyama, 3.0 twin turbo...
Yapyap mkuuPetrol?
Mimi naielewa xc90 2.5 diesel ila naona ina DPFYapyap mkuu
Wasalimie hapo chantaburi mkuu!Leo jioni nitakuwa way na Mercedes benz b200(turbo).
BUKOBA-KAHAMA-TINDE-SINGIDA-DODOMA-IRINGA-MAFINGA-MAKAMBAKO-NJOMBE na kituo ni BOMBAMBILI (SONGEA).
Nimeangalia mpaka mwisho,naweza sema madereva wa.Mabus wako rafu sana maana huwa wanashusha hapo chin ya dk 15 au 10 ila bint katumia 24+Nimepatwa na Goosebumps wakati naangalia Roadtrip ya huyu bibie akipita kitonga kwa kuangalia tu amenifanya kama sehemu ya abiria wake mziki mzuri unasikika na stori za hapa na pale best moment ever chuma ni Prado TxView attachment 3181921
Zimefika mkuuWasalimie hapo chantaburi mkuu!
Mkuu hii machine (3.0 TT) inatembea, sijajua specifications za hIyo ya diesel, ila hii machine ni umeme wa kutosha.Mimi naielewa xc90 2.5 diesel ila naona ina DPF
Ni v6?Mkuu hii machine (3.0 TT) inatembea, sijajua specifications za hIyo ya diesel, ila hii machine ni umeme wa kutosha.
Yes mkuu...Ni v6?
Basi ipo pia kwenye xc90Yes mkuu...
Ya Mkata niliiona pale... Ajali za kutosha mwisho wa mwakaMoshi to Dar leo njia nzuri ajali ziko mbili karibia same lori limepinduka kushoto trela imezidi barabarani, karibia mkata fuso limepinduka kushoto halijazuia barabara, sorry nilishindwa kupiga picha nilikuwa mwendo
T6 ni engine nzuri sana. Hii ni ya mwaka gani? T6 twin-charged (turbo/ na super-charged) imeanza kwenye inline 4 engines. Inline 6 zote zilikuwa na turbocharger tu.Leo ni Mbeya to Dar na huu mnyama, 3.0 twin turbo...
Basi ipo pia kwenye xc90
Recent engine ya Volvo iliyotumia ‘V’ configuration ni ile ya B8444S tu. Hapa kuna ile XC90 V8 na S80.Yes mkuu...
DPF siyo ishu kama wewe ni mtu wa masafa.Mimi naielewa xc90 2.5 diesel ila naona ina DPF
Upo sahihi mkuu.T6 ni engine nzuri sana. Hii ni ya mwaka gani? T6 twin-charged (turbo/ na super-charged) imeanza kwenye inline 4 engines. Inline 6 zote zilikuwa na turbocharger tu.
Sasa kama yako ina engine displacement ya 3.0L, haiwezi kuwa twin-charged. Kwa kuwa twin-charged zote zina engine displacement ya 2.0L
Gari lenye traction control hapo linakuwashia taa something is wrongKanyooshe steering wheel.
Mombo I guess.View attachment 3186558
Guess the location...
ExactlyMombo I guess.