Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Njombe = Dar x -1

Huku AC iko nje ndani unawasha joto kali

20250312_234841.jpg
 
Aaah bac tuu kaka, ujana na kuigana…

Niliitunza sn hii gari, oil mpya kila kilometer chache, coolant ya uhakika, gear box oil genuine, mziki mkubwa, unyunyu wa kwenda, rim sport kali.

Mafuta ilikuwa inanusa tuu, haikuwai nisumbua kwa chochote kile… sema kila ninavyowasha tv 📺 nasikia kelele za IST, IST, IST.

Mara huyu kashinda mchezo super, yule kapewa na vodacom. mara hawa comedian uchwara waiponde… nikienda kwny harusi mc hachekeshi mpaka aitaje IST. Nikisimama Kwenye mataa nitapigiwa horn hadi na bajaji.

Now nimehamia kwny subaru, maintenance yake inanitoa roho.

inshort I miss my IST 😔
Kwanini mkuu
 
Kwa nn mkuu Mbn nainjoy nako sana hasa kwenye swala la mafuta
Aaah bac tuu kaka, ujana na kuigana…

Niliitunza sn hii gari, oil mpya kila kilometer chache, coolant ya uhakika, gear box oil genuine, mziki mkubwa, unyunyu wa kwenda, rim sport kali.

Mafuta ilikuwa inanusa tuu, haikuwai nisumbua kwa chochote kile… sema kila ninavyowasha tv 📺 nasikia kelele za IST, IST, IST.

Mara huyu kashinda mchezo super, yule kapewa na vodacom. mara hawa comedian uchwara waiponde… nikienda kwny harusi mc hachekeshi mpaka aitaje IST. Nikisimama Kwenye mataa nitapigiwa horn hadi na bajaji.

Now nimehamia kwny subaru, maintenance yake inanitoa roho.

inshort I miss my IST
 
Back
Top Bottom