Wazee wa Subaru mnasemaje kuhusu Subaru XV. Naona muonekano mzuri, specifications kali hafu bei kitonga!

Hiyo
chuma imeshare engine na forester,, haina shida hiyo mashine na imekaa mkao sana,, America wanaita Cross trek sie kwetu ni xv,, kama kawaida Kenya zimejazana sana
 
Hiyo chuma imeshare engine na forester,, haina shida hiyo mashine na imekaa mkao sana,, America wanaita Cross trek sie kwetu ni xv,, kama kawaida Kenya zimejazana sana
Unyama sana hii. Jamaa ameielewa sana ila alishangazwa na bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…