Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ndio af mm naiogopa barabara sana nikiwa barabaran ata simu upige sipokeiKwahyo wazoefu hawapat ajali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio af mm naiogopa barabara sana nikiwa barabaran ata simu upige sipokeiKwahyo wazoefu hawapat ajali?
😂 ngoja nisisemeNdio af mm naiogopa barabara sana nikiwa barabaran ata simu upige sipokei
Semaa😂 ngoja nisiseme
HapanaSemaa
Ngoja tuangalie ever moreHapana
Wazee wa mitamthiliaNgoja tuangalie ever more
KabisaWazee wa mitamthilia
chuma imeshare engine na forester,, haina shida hiyo mashine na imekaa mkao sana,, America wanaita Cross trek sie kwetu ni xv,, kama kawaida Kenya zimejazana sanaWataalamu wa Subaru.
View attachment 3156348
Hii gari Subaru XV aka Subaru Crosstrek naiona BF kwa bei rafiki sana hadi $3500!
View attachment 3156349
Ushuru ndio mchawi naona umesimama hadi Mil 13 ila nashangaa sana CIF ilivyo ndogo, especially kwa hii gen 1.
View attachment 3156350Kama kuna mtu amewahi kuimiliki ebu atoe ushirikiano, kuna mdau anaitaka.
Nasikia ukianza Subaru hautoki.. PureView zeissKuna jamaa yangu anamiliki Subaru hapa jirani.. ule muungurumo ni kelele tosha. Sijawahi yaelewa haya magari
Unyama sana hii. Jamaa ameielewa sana ila alishangazwa na beiHiyo chuma imeshare engine na forester,, haina shida hiyo mashine na imekaa mkao sana,, America wanaita Cross trek sie kwetu ni xv,, kama kawaida Kenya zimejazana sana
Nasikia ukianza Subaru hautoki.. PureView zeiss
KumbeeGen 1 inatumia iyo mechanical handbrake ila Gen 2 kuanzia 2017 ina vile e-brake
Yako ipi?Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mwisho wa siku nimeangukia kwenye Subaru Tu Ila sio yale ya kelele
Engine code ni Fb20 ziko kwenye forester eyesight ziko poa hazina Tatz,, muambie tuu achukue haina tatzUnyama sana hii. Jamaa ameielewa sana ila alishangazwa na bei
Unaniamisha akili tena..Wataalamu wa Subaru.
View attachment 3156348
Hii gari Subaru XV aka Subaru Crosstrek naiona BF kwa bei rafiki sana hadi $3500!
View attachment 3156349
Ushuru ndio mchawi naona umesimama hadi Mil 13 ila nashangaa sana CIF ilivyo ndogo, especially kwa hii gen 1.
View attachment 3156350Kama kuna mtu amewahi kuimiliki ebu atoe ushirikiano, kuna mdau anaitaka.
Forester XT ya mwaka 2009Yako ipi?
Sasa mkuu pikpki utaendesha. Wewe...Ndio af mm naiogopa barabara sana nikiwa barabaran ata simu upige sipokei