Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Ndio maana ikaitwa ni shirki.
Kwasababu kuna kitu nje ya dini unakifanya japo unatumia maandiko yake.
Miaka ya nyuma sana, ndani nilikuta kitabu , kile kitabu kiliandikwa kama mashairi flani na wazee wa kiislamu wakiomba Sadam Hussein aliyekuwa rais wa Iraq anyongwe.

Ilikua kabla hata ya US kuivamia Iraq, ni kijitabu kidogo nilikisoma juu juu nikakiacha.

Baada ya Saddam kukamatwa na US akanyongwa kweli.
Hapo niliamini ..maombi yapo.

Nilikitafuta kile kitabu sikupata kukiona tena, nahisi kilikua cha mzee wangu.

Kitabu kizima kilikua ni maombi ya Saddam Hussein anyongwe.
 
Albadiri ipo mzee sema tu ule ni ushirikina au uchawi.....na inategemea kwa unaemwendea amajipangaje kwa mashambulizi.
 
Mkuu kesho kutwa hapa tu natimiza miaka 40 , hizi stories za chai kwenye dini hata mimi nilikua maarufu
Wallah Mkuu, siwezi kuweka kila kitu open kwa sababu nina verification identity, amini ninachokuambia. Usijichanganye ukakutana na Wajuvi wa mambo utaniambia na ushahidi upo maeneo ya kwetu huku Makumbusho viliibiwa vifaa vya Salon ya kike likawekwa tangazo kama kutoa taarifa
 
Hakusoma Albadiri, albadiri haipo
 
Kuna watu wanakataa haya mambo wanajisifu kabisaa kwamba wao hawagusiki nawaangalia naaamua kunyamaza ,kuna watu tumeona makubwa dunia hii hiyo ya ndizi inafanana na jani la mkonge lile ndio baya kuliko kwa sababu hata kama sio mshirikina unamaliza ukoo mzima kwa afya ya jamii sitaweka yote hapa
 
Mkuu kwa umri wangu na mambo niliyoshuhudia haya mambo ni stories tu hayana maana.
 

Hatari ni noma ,ogopa wapemba ni hatari kwa hayo mambo...Kama hawaamini wamle mke wa mpemba.
 
Sio kweli hmna chochote ni ushirikina tu kma wengine wanavoenda kwa waganga
kuna kipindi fulani kuna watu nawajua waliiba vito vya thamani ..na mm siri nikiijua .wakaitwa hao mashehe kusoma albadiri .mpk leo wale watu wanadunda tu hakuna cha uchizi au kufa ..toka pale sikuamini kitu..na wote tulilambishwa dawa hola hakuna alodhurika nawez na nawajua
 
Wewe huwa ni Mstaarabu na Muelewa katika Dini hupaswi kuuliza swali kama hilo....kuna haya katika Quran inayohusu kumsomea Mtu Kifo?

Twende taratibu
Quran ni kitabu cha mwongozo na rehema kwa wanadamu wote, na haifundishi uhasama, laana, au kumtakia kifo mtu mwingine. Badala yake, inasisitiza juu ya huruma, msamaha, na haki.
 
Nitachangia mahitaji Yoyote
 
Wazee wa tanga wameamua kupiga kurujuan,Yan aliyepanga,aliyefanya,aliyesababisha,alina kutoa wazo wote ni kurujuan,na sisi huku kwa msisi tunajiandaa jmosi.safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…