Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

hii itaondoka na wengi sana watu wawe makini sana jamani. kwasababu aliyechonga njama aliyesababisha upatikanaji wa silaha aliyetenda aliyejua na akanyamaza, aliyeshiriki kwa mawazo, akili, matendo au namna yoyote ile itaondoka nae.
 
Hakuna cha albadiri wala albajoto mimi ni muislamu na nimechukizwa sana na hichi kitendo ila kusema ukweli izo dua za albadiri sijui albajoto hamna lolote zaidi ya watu kufanya ushirikina tu

Muislamu wa kweli anoijua vizuri dini yake hafanyi huo upuuzi
Lakini hiyo dua si ipo kwenye utaratibu wa dini yenu inakuaje sasa ushirikina?😁
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
kizimkazi alikuwa anajua mpango mzima, Mrundi naye alikuwa anaufahamu mpango huo
 
Back
Top Bottom