Wazee wa Yanga hawataki mabadiliko klabuni

Ili watucheleweshe s ndyo?

Mzee kilomoni alipoanza kuwasumbua mlimpinga hapa kuwa apuuzwe ila wazee wa yanga wasipuuzwe?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kilomoni mlimsifu kuwa ana akili na yupo sahihi.. Kwahivyo hata GHAZWAT hao Wazee nawaunga mkono kwenye harakati zao yaani. Kwahivyo tulieni.
 
Mkude- amefuta picha zote instagram alizopiga akiwa na jezi ya simba nakubakiza picha 1 ya aliyekua mlimbwende/mpenzi wake barbara gonzalez

Source:livescore and espn reported
Inahusiana nini na wazee wa yanga,, anzisha thread yako kuhusu mkude, hapa tunazungumzia wazee wa yanga na mchakato wa mabadiliko, acha ushabiki maandazi
 
Muda wa kutoa maoni bado upo, waende wakatoe maoni yao kutengeneza katiba mpya. Na sio kuleta malumbano kwenye MEDIA.
 
Mwisho wa siku katiba itapitishwa kwa idadi ya kura za wanachama na sio matamko ya wazee.
 
Mkude- amefuta picha zote instagram alizopiga akiwa na jezi ya simba nakubakiza picha 1 ya aliyekua mlimbwende/mpenzi wake barbara gonzalez

Source:livescore and espn reported
Hii nayo ishu ya kujadili? Mbona hata mm nimefuta picha nyingi tu huko ig nimebakiza mbili tu moja Niko peke angu nyingine nipo na mama ako .
 
Ili watucheleweshe s ndyo?

Mzee kilomoni alipoanza kuwasumbua mlimpinga hapa kuwa apuuzwe ila wazee wa yanga wasipuuzwe?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unakumbuka Yanga ndiyo walikuwa wanamjaza upepo? Unakumbuka siku ya mkutano wenu alikuja akawachangia laki moja ? Waacheni wazee wa Utopolo wademke kwa raha zao, Wazee wa busara oyeeee
 
Mwisho wa siku katiba itapitishwa kwa idadi ya kura za wanachama na sio matamko ya wazee.
Hakuna kitu kama hicho wazee ndio waanzilishi wa club waeshimiwe,wamejenga majengo ya jagwani na mafia,na wamejenga brand ya yanga haiwezekani vijana wababaishaji ambao hamna mchango wowote eti muwape GSM timu!!!haiwezekani kabisa,tutamuweka mtu kwenye sanda wallah
 
Hii nayo ishu ya kujadili? Mbona hata mm nimefuta picha nyingi tu huko ig nimebakiza mbili tu moja Niko peke angu nyingine nipo na mama ako .
Wazazi jamani tuwaache huku kwenye utani wetu, tuparurane sisi tu wenyewe
 
Mimi team Msimbazi... Ila kwa hili niko pamoja na wazee wa Utopolo. Team ya wananchi lazima iongozwe na wananchi, tena wazee waliopigania Uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…