Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba

Hivi shida nini nyie mnaoisimanga Yanga. Mechi ya kwanza tuliwafunga kule Zanzibar mbona hamkupanic kiasi hiki. Hawa Singida walifungwa mbili bila na KMC na Yanga wakawafunga hawa KMC sita kwa moja. Jamani kafungwa Singida mnaumia mambumbumbu wa soka shida nini. Tulieni sindano iwaingie taratibu.
 
Wamalize matatizo na magoma!
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Mjinga mmoja kama wewe ukiacha kufuatilia mechi za NBC unaleta effect ipi Kwa mashabiki zaidi ya M20 wa yanga?
 
Ile kauli ya Manara kuhusu watu wa hii timu itaishi milele.
 
Vipi bidhaa za Azam tuendelee kuzisusa.?Au hili wamelisahau?
 
"wazee wameshakula mihogo yao wanakuja kubwabwaja tu"

~Injinia
 
Jemedari aka Sauti ya wasio na sauti.

Yanga ni timu iliyoasisiwa na watu wasiokuwa na elimu hivyo lazima wawachukie watu wenye elimu na wenye kuongea ukweli na uwazi kama vile Jemedari Said bin Kazumari
 
Bado tunahoji ubwege ule wa kupanga matokeo kipumbavu hadi Doto Magari anajua mmefumdishwa na wanasiasa wa CCM ambao wanakimbia na box ya kura mchana kweupe peeee
 
Bro kwa nia njema naomba unieleweshe Yanga wamepangaje matokeo dhidi ya Singida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…