Rais anao washauri wanaolewa hawezi akaingia mkenge wa hao vichaaIwapo mama samia au hata waziri wa michezo atatoa maamuzi juu ya kesi hiyo basi kitachotokea kitaitwa”SERIKALI KUINGILIA MPIRA WA MIGUU”
Kosa hilo likiwafikia wakuu wa soka FIFA,tff inakula ban kama ligi ya zimbabwe..
Coz ni marufuku serikali kuingilia maamuzi ya chama Au shirikisho la soka nchi yoyote ma adhabu yake huwa kubwa.
Ikumbukwe Wazee wa yanga walishawahi kutaka kuonana na mama samia ila nadhani hawakufanikiwa.
WAZEE WA YANGA MTAUPOZA MPIRA WA BONGO.
.Iwapo mama samia au hata waziri wa michezo atatoa maamuzi juu ya kesi hiyo basi kitachotokea kitaitwa”SERIKALI KUINGILIA MPIRA WA MIGUU”
Kosa hilo likiwafikia wakuu wa soka FIFA,tff inakula ban kama ligi ya zimbabwe..
Coz ni marufuku serikali kuingilia maamuzi ya chama Au shirikisho la soka nchi yoyote ma adhabu yake huwa kubwa.
Ikumbukwe Wazee wa yanga walishawahi kutaka kuonana na mama samia ila nadhani hawakufanikiwa.
WAZEE WA YANGA MTAUPOZA MPIRA WA BONGO.
Hao Wazee hawajajikusanya Wenyewe bali ni Jeuri wanayopewa na Mstaafu wenu wa Mkoa wa Pwani ambaye ana Influence Kubwa ya Kiushawishi katika Awamu hii pamoja na Mama Karume kutoka Kwao Kisiwani Zanzibar.Iwapo mama samia au hata waziri wa michezo atatoa maamuzi juu ya kesi hiyo basi kitachotokea kitaitwa”SERIKALI KUINGILIA MPIRA WA MIGUU”
Kosa hilo likiwafikia wakuu wa soka FIFA,tff inakula ban kama ligi ya zimbabwe..
Coz ni marufuku serikali kuingilia maamuzi ya chama Au shirikisho la soka nchi yoyote ma adhabu yake huwa kubwa.
Ikumbukwe Wazee wa yanga walishawahi kutaka kuonana na mama samia ila nadhani hawakufanikiwa.
WAZEE WA YANGA MTAUPOZA MPIRA WA BONGO.
Mada nyingine bhana! Hao Wazee wa Yanga ndiyo akina nani? Na wameomba kukutana lini na Rais? Kiongozi wao ni nani?Iwapo mama samia au hata waziri wa michezo atatoa maamuzi juu ya kesi hiyo basi kitachotokea kitaitwa”SERIKALI KUINGILIA MPIRA WA MIGUU”
Kosa hilo likiwafikia wakuu wa soka FIFA,tff inakula ban kama ligi ya zimbabwe..
Coz ni marufuku serikali kuingilia maamuzi ya chama Au shirikisho la soka nchi yoyote ma adhabu yake huwa kubwa.
Ikumbukwe Wazee wa yanga walishawahi kutaka kuonana na mama samia ila nadhani hawakufanikiwa.
WAZEE WA YANGA MTAUPOZA MPIRA WA BONGO.
Na aliyekuwa Kocha Mkuu Wao Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliwahi kusema ( ipo YouTube ) kuwa Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe.Alichowahi kukisema Haji mwenyewe kwamba wenye akili Yanga ni wawili tu (Sunday Manara na Kikwete) naona kinazidi kujidhihirisha kila kunapokucha.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Rais Samia awe makini nalo sana tu.Rekodi ipo Tz ilishawahi pigwa ban
Umeelezea jambo jema tu na la Akili.Rais anao washauri wanaolewa hawezi akaingia mkenge wa hao vichaa
Kutokana na huu Upuuzi wa hawa Wazee wa Yanga SC na Rais Samia natamani isiwe tu hiyo Miaka yako 10, ila ikiwezekana iwe hata miaka 50 kabisa tu Mkuu ili tukome.Ni sawa naona kama Taifa tunahitaji default kwenye mpira wetu labda tutakuwa na heshima
Natamani tule Ban hata ya miaka 10 kwanza ili tukirudi tuwe na heshima na huu mpira katika kuuongoza
Wana Simba SC kwa hili la Wazee wa Yanga SC 'tunamzoom' tu na akithubutu tu kuingia katika Mtego wao ajue amesharibu Soka la Tanzania, FIFA itaingilia, Tanzania tutafungiwa na Sisi wana Simba SC wote hatutokuwa na Imani nae tena, nchi haitotawalika na hata Urais wake unaweza kumtokea Puani.Si hivyo tu...
Tujenge taasisi.
Wazee wa Yanga watambue kwamba kama Taifa tunajaribu kujenga jamii inayotegemea taasisi za Umma badala ya huruma za kiongozi mmoja mmoja.
Hivi ni kwa nini ma Jaji Wakuu na Wasajili wa mahakama za nchi hii hawakerwi na tabia hizi na wala hata siku moja hawatoi tamko la kualika watu kwenye taasisi za kisheria badala ya kuomba omba huruma za viongozi ?
Umemaliza kila Kitu Mkuu Heko sana.Lakini ukiangalia pamoja na upungufu wa TFF ila Manara alistahili adhabu muda sana ni mtu anayetumia ulemavu wake wa Ngozi kama ngao ya kufanya mabaya kwa kisingizio kwamba akiguswa atasema chuki.
Kama nchi itakula ban kisa wazee kuonana na rais, je mchengelwa alietoa huku kwa manara hakuingilia uhuru wa tff?Iwapo mama samia au hata waziri wa michezo atatoa maamuzi juu ya kesi hiyo basi kitachotokea kitaitwa”SERIKALI KUINGILIA MPIRA WA MIGUU”
Kosa hilo likiwafikia wakuu wa soka FIFA,tff inakula ban kama ligi ya zimbabwe..
Coz ni marufuku serikali kuingilia maamuzi ya chama Au shirikisho la soka nchi yoyote ma adhabu yake huwa kubwa.
Ikumbukwe Wazee wa yanga walishawahi kutaka kuonana na mama samia ila nadhani hawakufanikiwa.
WAZEE WA YANGA MTAUPOZA MPIRA WA BONGO.
Ametoaje hukumu?Kama nchi itakula ban kisa wazee kuonana na rais, je mchengelwa alietoa huku kwa manara hakuingilia uhuru wa tff?
Sasa kama wana akina Bi. Aziza na Bi. Joyce kwanini wasiwe Wanalialia Mkuu? Kwani Wewe ukiwa 'Unambaioloji' Shemeji ( Shemela ) yetu Bi. Fulani huwa halii?Hii timu bhana yaani kulialia mpaka inakera mara mama, waziri, caf, fifa sijui kujitoa kwenye ligi Bora isajiliwe netball