Wazee wa Yanga wanaomba kukutana Rais Samia kulalamikia adhabu ya Manara..Wanajua madhara ya kitendo hicho?

Huyo Mama wa maridhiano si ajabu akakutana na hao wazee na akabatilisha adhabu.

Lakini hii hofu ya kufungiwa imekuwa ikitumiwa vibaya na viongozi wa mashirikisho ya mpira.
Siyo hofu bali ni fact Serikali ikiingilia maamuzi ya vyombo husika vya soka FIFA watatupiga tofali.
 
Tanzania Football Film.
Soka liingie rasmi kwenye siasa.
 
........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.

Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.

Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka

Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
Haji hawezi kukwepa adhabu ya kufungiwa kwa sababu anarudirudia haya makosa anajua akipigwa faini yoyote ana uwezo wa kuilipa. Unakumbuka alivyokuwa Simba alipigwa faini ya milioni tano na uliona alivyokwenda kwa jeuri kuilipa tena akiongozana na msululu wa waandishi wa habari.

Nia ya adhabu ni mhusika ajutie kosa lake na ajirekebishe na si kumkomoa. Sasa akipewa faini hata ya milioni 90 kuna watu watamlipia unafikiri anaweza kujutia kosa lake na kujirekebisha. Adhabu ya kifungo maana yake mkosaji aibebe yeye mwenyewe binafsi ili ajutie kosa lake.
 
Hao Wazee hawajajikusanya Wenyewe bali ni Jeuri wanayopewa na Mstaafu wenu wa Mkoa wa Pwani ambaye ana Influence Kubwa ya Kiushawishi katika Awamu hii pamoja na Mama Karume kutoka Kwao Kisiwani Zanzibar.

Wanachokifanya hapa hawa Wazee ni Kumlazimisha Mama nae awapende na awapendelee Yanga SC ili iwe ni Kazi rahisi kwa Wanayanga walioko Serikalini akina Waziri Nchemba, Mzee Mkuchika, Manaibu Mavunde na Ridhiwani nao wasaidie katika Kumshawishi ili Rais wa TFF Karia atishwe na Kamati ya Maadili ya TFF itengue hiyo Adhabu.

Niliwahi kuonya huko nyuma kuwa Rais Samia akae mbali na kulazimishwa kuwa ( awe ) mwana Yanga SC kwani itakuwa na Athari Kubwa Kwake Kiutawala, Kiushawishi na hata Kiusalama vile vile kutokana na Nguvu Kubwa ya hivi Vilabu viwili ila sikueleweka na Wapumbavu wengi ila taratibu nilichokiona sasa kinakuja.

Anayeharibu Mpira wa Tanzania kwa sasa kwa kupitia Kampuni yake inayosimamiwa na GSM ni Mstaafu wenu wa Kikatiba kutoka Mkoani Pwani na asipoangalia au Watu wa TISS wasipoliingilia kati kwa kuacha Haki itendeke, Sheria zifuatwe na Mpira uchezwe kuna Machafuko makubwa na Hatari fulani GENTAMYCINE naiona.

Sisi wana Simba SC tunawasubiri tu wamalize Kuhangaika na huu Upumbavu Wao mkubwa ila Rais Samia akikubali tu kuingia katika huu Mtego anaotegwa na hawa wana Yanga basi ajue Safari yake ya kuwa Rais itakuwa na Misukosuko mingi, ataathirika mno Kisiasa na atakuwa ameshaleta Mpasuko mkubwa wa Kisiasa nchini kwani nasi wana Simba SC tutaamua kuwa kwakuwa Yeye anaipendelea Yanga SC kutokana na Rangi zake Kufanana na za Chama chake cha CCM basi nasi Simba SC tutakubaliana rasmi Wote tuwe wana CHADEMA ambao 85% ya Rangi yao ( zao ) inafanana na ya Klabu ya Simba.

Namalizia kwa Kukuuliza Swali ni kwanini Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli Maamuzi kama haya dhidi ya Yanga SC yalipokuwa yakitokea ulikuwa ( hukuona ) hawa Wazee wa Yanga SC wakitishia kwenda Kuonana nae ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) pale ( hapo ) Ikulu?

Siasa ni Siasa na Soka ni Soka sawa?
Umeandika points kubwa mno hasa hapo kwenye rangi za bendera , yaani mama akiingilia wanasimba tunazimwaga cdm zote kila watu wawe bendera zinazosadifu vyama vyao
 
........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.

Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.

Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka

Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
Unajua kuwa tayari Haji alikuwa na onyo kali kipindi kile ametozwa fine ya 5M akiwa simba 2020? Yeye nani kila mara awe anatozwa tu fine na anarudia makosa yale yale kisa ana uwezo wa kulipa fine?
 
Ni sawa naona kama Taifa tunahitaji default kwenye mpira wetu labda tutakuwa na heshima

Natamani tule Ban hata ya miaka 10 kwanza ili tukirudi tuwe na heshima na huu mpira katika kuuongoza
Sisi wengine hatutamani iwe hivyo, kama jinsi ambavyo nyinyi hamkutamani ligi ifungiwe wakati ambapo wengine walikuwa wanapewa hizo hukumu.
 
........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.

Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.

Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka

Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
Kafatilie ligi ya Kenya uone ni nini kinaendelea kwasasa baada ya serikali yao kuingilia maswala la kimpira, huko FIFA, CAF na ulimwengu soka mtu kama SSH au kiongozi yoyote wa taifa (hasa Tz ambayo ni takataka tu kiuchumi) wanaonekana vinyeo tu na hawawezi kukoromeana na FIFA hata siku moja.

Huu mpira sio wenu, mpira ni wa wazungu na FIFA yao kwahiyo wao hata kuufingia mchezo wote wa mpira hapa Tz wanaweza na hakuna RAIS au kima yoyote yule anaeweza kupingana nao.
 
Hao Wazee hawajajikusanya Wenyewe bali ni Jeuri wanayopewa na Mstaafu wenu wa Mkoa wa Pwani ambaye ana Influence Kubwa ya Kiushawishi katika Awamu hii pamoja na Mama Karume kutoka Kwao Kisiwani Zanzibar.

Wanachokifanya hapa hawa Wazee ni Kumlazimisha Mama nae awapende na awapendelee Yanga SC ili iwe ni Kazi rahisi kwa Wanayanga walioko Serikalini akina Waziri Nchemba, Mzee Mkuchika, Manaibu Mavunde na Ridhiwani nao wasaidie katika Kumshawishi ili Rais wa TFF Karia atishwe na Kamati ya Maadili ya TFF itengue hiyo Adhabu.

Niliwahi kuonya huko nyuma kuwa Rais Samia akae mbali na kulazimishwa kuwa ( awe ) mwana Yanga SC kwani itakuwa na Athari Kubwa Kwake Kiutawala, Kiushawishi na hata Kiusalama vile vile kutokana na Nguvu Kubwa ya hivi Vilabu viwili ila sikueleweka na Wapumbavu wengi ila taratibu nilichokiona sasa kinakuja.

Anayeharibu Mpira wa Tanzania kwa sasa kwa kupitia Kampuni yake inayosimamiwa na GSM ni Mstaafu wenu wa Kikatiba kutoka Mkoani Pwani na asipoangalia au Watu wa TISS wasipoliingilia kati kwa kuacha Haki itendeke, Sheria zifuatwe na Mpira uchezwe kuna Machafuko makubwa na Hatari fulani GENTAMYCINE naiona.

Sisi wana Simba SC tunawasubiri tu wamalize Kuhangaika na huu Upumbavu Wao mkubwa ila Rais Samia akikubali tu kuingia katika huu Mtego anaotegwa na hawa wana Yanga basi ajue Safari yake ya kuwa Rais itakuwa na Misukosuko mingi, ataathirika mno Kisiasa na atakuwa ameshaleta Mpasuko mkubwa wa Kisiasa nchini kwani nasi wana Simba SC tutaamua kuwa kwakuwa Yeye anaipendelea Yanga SC kutokana na Rangi zake Kufanana na za Chama chake cha CCM basi nasi Simba SC tutakubaliana rasmi Wote tuwe wana CHADEMA ambao 85% ya Rangi yao ( zao ) inafanana na ya Klabu ya Simba.

Namalizia kwa Kukuuliza Swali ni kwanini Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli Maamuzi kama haya dhidi ya Yanga SC yalipokuwa yakitokea ulikuwa ( hukuona ) hawa Wazee wa Yanga SC wakitishia kwenda Kuonana nae ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) pale ( hapo ) Ikulu?

Siasa ni Siasa na Soka ni Soka sawa?
Mkuu walikuwa wanamfahamu vizuri Sana Yule mzee alikuwa c mtu wa kuingilika kirahisi hata huyo mstaafu wao analijua Hilo.

Mbona Kuna watu waliwahi kufungiwa akina mbwana makata, Na wengne Yule wa biashara United, Sasa manara ni Nani yeye yupo juu ya mfumo Na Sasa TFF isipoonesha nguvu yake kwenye hili Basi soka letu linaenda kufa Na king'amuzi Cha Azam nitatupa Na kubaki Na DStv kwa ajili ya kuangalia mpira wa nje tu

Kwa hyo viongozi wa timu kubwa wakikosea wasiguswe Ila Hawa wa timu ndogo hata wapigwe ban ya maisha sawa!
 
Haya ndio madhara ya Mpira kuongozwa na wapumbavu hapa nchini

Naitamani sana Ban ya FIFA kwenye mpira wetu
 
Siyo hofu bali ni fact Serikali ikiingilia maamuzi ya vyombo husika vya soka FIFA watatupiga tofali.
Kama viongozi hawatendi haki ni heri tu kufungiwa kuliko watu waishi kwa kuwaabudu.

Hofu ya kufungiwa isiwafanye watu wakashindwa kuusimamia ukweli.
 
........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.

Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.

Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka

Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
Manara ni wa kwanza kufungiwa? Mbona hujawahi kushauri hili katika hukumu za wengine ?
 
Kwa kukusaidia tu kwakuwa huna Akili kama wana Yanga SC wengi ( 98% ) mlivyo ni kwamba kabla ya Kosa lililomuhukumu Juzi Manara tayari alikuwa ana Akiba ya Makosa zaidi ya Matano Ofisini TFF.

Na hakuna Kosa Kubwa ambalo kama si Busara na Uungwana wa Viongozi wa Simba SC ( hasa wale walioko Serikalini ) Waziri Mkuu Majaliwa na Waziri Mzee Mkuchika pamoja na Ubinadamu ( Udugu wa Kitanzania ) leo hii Manara angekuwa amefungiwa Maisha na TFF na huenda hata Serikali ingemshtaki kwa Kitendo chake kibaya na siyo cha Uanamichezo cha Kuziambia Timu zote zilizokuwa zikija kucheza na Simba SC katika CAFCL na CAFCC kuwa Tanzania ( Uwanja wa Mkapa ) si Salama Kwao na kwamba wawe Makini kwani Watakufa kwa Kuwekewa Sumu.

Hivi nyie Wapumbavu mnaomtetea Haji Manara mnajua Impact ya Kauli hii mbaya kwa Tanzania kama nchi, Usalama na hata kwa Sekta ya Utalii? Wana Yanga SC wengi mngekuwa Mmesoma na 'Intellectuals' kama wana Simba SC wala msingekuwa Kituko hivi.

Tena kama kuna Watu ambao mnatakiwa muwapongeze TFF ( kupitia Kamati yake hiyo ya Maadili ) kwa Kumuhukumu 'Kiduchu' hivyo kwa miaka Miwili tu ni nyie wana ( Watu ) wa Yanga SC ila kwakuwa hamna Akili Kiasili mnaona Kaonewa na Kakomolewa.

Hivi mnajua kuwa kwa Udhalilishaji aliofanyiwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba na Haji Manara ( alipokuwa Simba SC ) kama Msemaji bila ya CEO Barbara Gonzalez ( Mwanamke Mwenzake ) na Dada Asha Baraka kwenda Kumpigja Magoti ilikuwa ni Criminal Case Kubwa na Haji Manara leo angekuwa Segerea anaoza?

Nina uhakika kwa Matusi na Udhalilishwaji aliofanyiwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba na Haji Manara angefanyiwa Dada yako au Mama yako au Mkeo usingevumilia na ungelivalia Njuga hadi mwisho wake.

Wanafiki na Majuha wakubwa nyie!!!
Hawa ni majuha haswa
 
Back
Top Bottom