Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Tupigwe ban tu. Haiwezekani Karia awe juu ya sheria aa TFF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi vita vya Ukraine, Russia anaendelea kula kichapo?Wapi alitoa hukumu kwa Manara? Yani kuwaasa viongozi kufuata sheria na nidhamu ni kosa? Au na wewe ni Mzee wa Yanga?
Mada nyingine bhana! Hao Wazee wa Yanga ndiyo akina nani? Na wameomba kukutana lini na Rais? Kiongozi wao ni nani?
Hivi huoni kabisa huu uzi wako umejaa bla bla! porojo na tetesi zisizo na kichwa wala miguu!
Hii timu bhana yaani kulialia mpaka inakera mara mama, waziri, caf, fifa sijui kujitoa kwenye ligi Bora isajiliwe netball
Kama nchi itakula ban kisa wazee kuonana na rais, je mchengelwa alietoa huku kwa manara hakuingilia uhuru wa tff?
Huyo Mshauri ndiyo ( Ndiye ) aliyeiharibu na Kuifelisha Tanzania Kimaendeleo kati ya mwaka 2005 hadi 2015 na Watanzania na Tanzania ilidharaulika kiasi cha hadi kuonekana ni Gulio la Wapumbavu na Ghala Kuu la Kuhifadhia Dawa za Kulevya kwa Bara la Afrika na hasa hasa Ukanda wa EAC na ule wa SADC.
Natambua hilo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa unajua kuwa zee la msoga lipo humu jei efu??
Haya ndio madhara ya Mpira kuongozwa na wapumbavu hapa nchini
Naitamani sana Ban ya FIFA kwenye mpira wetu
Yanga ina wazee wajinga kuwahi kutokeaIwapo mama Samia au hata Waziri wa Michezo atatoa maamuzi juu ya kesi hiyo basi kitachotokea kitaitwa ”SERIKALI KUINGILIA MPIRA WA MIGUU”.
Kosa hilo likiwafikia wakuu wa soka FIFA, basi TFF inakula ban kama ligi ya Zimbabwe..
Coz ni marufuku Serikali kuingilia maamuzi ya chama au shirikisho la soka nchi yoyote ma adhabu yake huwa kubwa.
Ikumbukwe Wazee wa Yanga walishawahi kutaka kuonana na mama Samia ila nadhani hawakufanikiwa.
WAZEE WA YANGA MTAUPOZA MPIRA WA BONGO.

Hopeless........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.
Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.
Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka
Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao wazee siyo wajinga bali ni wapumbavu kabisaYanga ina wazee wajinga kuwahi kutokea