Wazee wa Yanga wanaomba kukutana Rais Samia kulalamikia adhabu ya Manara..Wanajua madhara ya kitendo hicho?

Wazee wa Yanga wanaomba kukutana Rais Samia kulalamikia adhabu ya Manara..Wanajua madhara ya kitendo hicho?

Kama viongozi hawatendi haki ni heri tu kufungiwa kuliko watu waishi kwa kuwaabudu.

Hofu ya kufungiwa isiwafanye watu wakashindwa kuusimamia ukweli.
Ukweli si ndo huo ,Manara kakosea na amepewa adhabu kwa kosa lake?
 
Sasa kama wana akina Bi. Aziza na Bi. Joyce kwanini wasiwe Wanalialia Mkuu? Kwani Wewe ukiwa 'Unambaioloji' Shemeji ( Shemela ) yetu Bi. Fulani huwa halii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imagine msimu haujaanza lakini Yanga washanza kulia lia!!

Na bado hatujaanza kuwachezesha kibinda Nkoyi!!!

Yanga mtambue, kambini Simba kila mchezaji anajiuliza
"HIVI ILIKUWAJE TUKAPOTEZA VIKOMBE VYOTE???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh
 
Ukweli si ndo huo ,Manara kakosea na amepewa adhabu kwa kosa lake?
Maoni yangu hayahusiani na issue ya Manara bali utoaji adhabu kwa ujumla wake.

Shida wengi wenu akili yote ipo kwenye adhabu ya Manara pekee na mihemko ya uSimba na uYanga.

Nimetoa Rai kwa viongozi kutenda haki kwenye hizi adhabu zao wasitegemee kivuli cha hofu ya kufungiwa na FIFA kitafanya watu wote wawaabudu.
 
Kafatilie ligi ya Kenya uone ni nini kinaendelea kwasasa baada ya serikali yao kuingilia maswala la kimpira, huko FIFA, CAF na ulimwengu soka mtu kama SSH au kiongozi yoyote wa taifa (hasa Tz ambayo ni takataka tu kiuchumi) wanaonekana vinyeo tu na hawawezi kukoromeana na FIFA hata siku moja.

Huu mpira sio wenu, mpira ni wa wazungu na FIFA yao kwahiyo wao hata kuufingia mchezo wote wa mpira hapa Tz wanaweza na hakuna RAIS au kima yoyote yule anaeweza kupingana nao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemalizaaaaaaah
 
Iwapo mama Samia au hata Waziri wa Michezo atatoa maamuzi juu ya kesi hiyo basi kitachotokea kitaitwa ”SERIKALI KUINGILIA MPIRA WA MIGUU”.

Kosa hilo likiwafikia wakuu wa soka FIFA, basi TFF inakula ban kama ligi ya Zimbabwe..

Coz ni marufuku Serikali kuingilia maamuzi ya chama au shirikisho la soka nchi yoyote ma adhabu yake huwa kubwa.

Ikumbukwe Wazee wa Yanga walishawahi kutaka kuonana na mama Samia ila nadhani hawakufanikiwa.

WAZEE WA YANGA MTAUPOZA MPIRA WA BONGO.
Wazee wa utopolo ni empty
 
Lakini ukiangalia pamoja na upungufu wa TFF ila Manara alistahili adhabu muda sana ni mtu anayetumia ulemavu wake wa Ngozi kama ngao ya kufanya mabaya kwa kisingizio kwamba akiguswa atasema chuki.
Nakubaliana Mkuu
 
Ni sawa naona kama Taifa tunahitaji default kwenye mpira wetu labda tutakuwa na heshima

Natamani tule Ban hata ya miaka 10 kwanza ili tukirudi tuwe na heshima na huu mpira katika kuuongoza
We utopolo si kwa woga huu wa mechi za kimataifa
 
KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi MSOSA KAMA MSOSA TREBLE
 
Kwa sababu ni mama FIFA wanaweza wasiwe na neno...
 
Wanaenda kumtetea mvuta ganja!
20220723_172343.jpg
 
Lakini ukiangalia pamoja na upungufu wa TFF ila Manara alistahili adhabu muda sana ni mtu anayetumia ulemavu wake wa Ngozi kama ngao ya kufanya mabaya kwa kisingizio kwamba akiguswa atasema chuki.
Alafu nchi hii hawa wapayukaji
Kupewa coverage imekuwa shida
Sana

Ova
 
Back
Top Bottom