Wazee wa Yanga wanaomba kukutana Rais Samia kulalamikia adhabu ya Manara..Wanajua madhara ya kitendo hicho?

Hawa Wazee hii ni mara ya pili kutishia kwenda Ikulu kumuona Rais Samia baada ya Yanga kutoa sare zile mfululizo, baadaye walivyoona mambo yamenyooka Yanga inashinda, wakatulia.

Kosa kubwa mamlaka yenye dhamana ya soka waliwaacha bila kuwapa ovyo kali mno ili wasirudie.

Hii ni kitu kibaya sana kwenye mpira, na sijui upumbavu gani anawashauri kufanya hivyo.

Yaani Rais apelekewe kesi ya Haji kufungiwa ilhali kuna vyombo vya kusimamia hayo mambo ya mpira nchini na nje ya nchi..!

Kuna watu hovyo sana yaani..!
 
Nimesikitika sana ulivyohoji ni Mpumbavu gani anayewashauri na kuwapa Kiburi hiki hawa Wazee wakati unamjua ni Mr. 2005 - 2015 pekee.
 
Huyo Mama wa maridhiano si ajabu akakutana na hao wazee na akabatilisha adhabu.

Lakini hii hofu ya kufungiwa imekuwa ikitumiwa vibaya na viongozi wa mashirikisho ya mpira.
 
Nimesikitika sana ulivyohoji ni Mpumbavu gani anayewashauri na kuwapa Kiburi hiki hawa Wazee wakati unamjua ni Mr. 2005 - 2015 pekee.
Nimetumia KINAYA (fumbo) tu, ndo maana licha ya hawa Wazee kupewa nguvu, hata yeye anajinasibu kuwa ataiondoa hii kabali alopigwa, lakini huyu mshauri aangalie sana mambo ya hovyo kama haya.

Yaani medani ya soka nchini ipate msukosuko kwa ajili ya Haji kweli, ama kweli tuna watu wa hovyo sana yaani.
 
........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.

Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.

Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka

Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
 
Huyo Mshauri ndiyo ( Ndiye ) aliyeiharibu na Kuifelisha Tanzania Kimaendeleo kati ya mwaka 2005 hadi 2015 na Watanzania na Tanzania ilidharaulika kiasi cha hadi kuonekana ni Gulio la Wapumbavu na Ghala Kuu la Kuhifadhia Dawa za Kulevya kwa Bara la Afrika na hasa hasa Ukanda wa EAC na ule wa SADC.
 
Hao Wazee hawajajikusanya Wenyewe bali ni Jeuri wanayopewa na Mstaafu wenu wa Mkoa wa Pwani ambaye ana Influence Kubwa ya Kiushawishi katika Awamu hii pamoja na Mama Karume kutoka Kwao Kisiwani Zanzibar.

Wanachokifanya hapa hawa Wazee ni Kumlazimisha Mama nae awapende na awapendelee Yanga SC ili iwe ni Kazi rahisi kwa Wanayanga walioko Serikalini akina Waziri Nchemba, Mzee Mkuchika, Manaibu Mavunde na Ridhiwani nao wasaidie katika Kumshawishi ili Rais wa TFF Karia atishwe na Kamati ya Maadili ya TFF itengue hiyo Adhabu.

Niliwahi kuonya huko nyuma kuwa Rais Samia akae mbali na kulazimishwa kuwa ( awe ) mwana Yanga SC kwani itakuwa na Athari Kubwa Kwake Kiutawala, Kiushawishi na hata Kiusalama vile vile kutokana na Nguvu Kubwa ya hivi Vilabu viwili ila sikueleweka na Wapumbavu wengi ila taratibu nilichokiona sasa kinakuja.

Anayeharibu Mpira wa Tanzania kwa sasa kwa kupitia Kampuni yake inayosimamiwa na GSM ni Mstaafu wenu wa Kikatiba kutoka Mkoani Pwani na asipoangalia au Watu wa TISS wasipoliingilia kati kwa kuacha Haki itendeke, Sheria zifuatwe na Mpira uchezwe kuna Machafuko makubwa na Hatari fulani GENTAMYCINE naiona.

Sisi wana Simba SC tunawasubiri tu wamalize Kuhangaika na huu Upumbavu Wao mkubwa ila Rais Samia akikubali tu kuingia katika huu Mtego anaotegwa na hawa wana Yanga basi ajue Safari yake ya kuwa Rais itakuwa na Misukosuko mingi, ataathirika mno Kisiasa na atakuwa ameshaleta Mpasuko mkubwa wa Kisiasa nchini kwani nasi wana Simba SC tutaamua kuwa kwakuwa Yeye anaipendelea Yanga SC kutokana na Rangi zake Kufanana na za Chama chake cha CCM basi nasi Simba SC tutakubaliana rasmi Wote tuwe wana CHADEMA ambao 85% ya Rangi yao ( zao ) inafanana na ya Klabu ya Simba.

Namalizia kwa Kukuuliza Swali ni kwanini Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli Maamuzi kama haya dhidi ya Yanga SC yalipokuwa yakitokea ulikuwa ( hukuona ) hawa Wazee wa Yanga SC wakitishia kwenda Kuonana nae ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) pale ( hapo ) Ikulu?

Siasa ni Siasa na Soka ni Soka sawa?
Umeharisha tayari haya chamba sasa
 
........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.

Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.

Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka

Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
Kwa kukusaidia tu kwakuwa huna Akili kama wana Yanga SC wengi ( 98% ) mlivyo ni kwamba kabla ya Kosa lililomuhukumu Juzi Manara tayari alikuwa ana Akiba ya Makosa zaidi ya Matano Ofisini TFF.

Na hakuna Kosa Kubwa ambalo kama si Busara na Uungwana wa Viongozi wa Simba SC ( hasa wale walioko Serikalini ) Waziri Mkuu Majaliwa na Waziri Mzee Mkuchika pamoja na Ubinadamu ( Udugu wa Kitanzania ) leo hii Manara angekuwa amefungiwa Maisha na TFF na huenda hata Serikali ingemshtaki kwa Kitendo chake kibaya na siyo cha Uanamichezo cha Kuziambia Timu zote zilizokuwa zikija kucheza na Simba SC katika CAFCL na CAFCC kuwa Tanzania ( Uwanja wa Mkapa ) si Salama Kwao na kwamba wawe Makini kwani Watakufa kwa Kuwekewa Sumu.

Hivi nyie Wapumbavu mnaomtetea Haji Manara mnajua Impact ya Kauli hii mbaya kwa Tanzania kama nchi, Usalama na hata kwa Sekta ya Utalii? Wana Yanga SC wengi mngekuwa Mmesoma na 'Intellectuals' kama wana Simba SC wala msingekuwa Kituko hivi.

Tena kama kuna Watu ambao mnatakiwa muwapongeze TFF ( kupitia Kamati yake hiyo ya Maadili ) kwa Kumuhukumu 'Kiduchu' hivyo kwa miaka Miwili tu ni nyie wana ( Watu ) wa Yanga SC ila kwakuwa hamna Akili Kiasili mnaona Kaonewa na Kakomolewa.

Hivi mnajua kuwa kwa Udhalilishaji aliofanyiwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba na Haji Manara ( alipokuwa Simba SC ) kama Msemaji bila ya CEO Barbara Gonzalez ( Mwanamke Mwenzake ) na Dada Asha Baraka kwenda Kumpigja Magoti ilikuwa ni Criminal Case Kubwa na Haji Manara leo angekuwa Segerea anaoza?

Nina uhakika kwa Matusi na Udhalilishwaji aliofanyiwa Mtangazaji wa Clouds FM Prisca Kishamba na Haji Manara angefanyiwa Dada yako au Mama yako au Mkeo usingevumilia na ungelivalia Njuga hadi mwisho wake.

Wanafiki na Majuha wakubwa nyie!!!
 
Wana Simba SC kwa hili la Wazee wa Yanga SC 'tunamzoom' tu na akithubutu tu kuingia katika Mtego wao ajue amesharibu Soka la Tanzania, FIFA itaingilia, Tanzania tutafungiwa na Sisi wana Simba SC wote hatutokuwa na Imani nae tena, nchi haitotawalika na hata Urais wake unaweza kumtokea Puani.

Awe makini mno na hili na akikurupuka nalo kwa Kushawishiwa na Mstaafu wa Mkoani Pwani ajue atakuwa responsible kwa negative Impact yake na asisahau tu kuwa 95% ya Wana Simba SC ni Wasomi ( Intellectuals ) wa Tanzania na huko Yanga SC Wasio na Akili ni almost 98% hivi.
Acha vitisho vya kitoto wewe kwa taasisi ya u rais
 
Hao Wazee hawajajikusanya Wenyewe bali ni Jeuri wanayopewa na Mstaafu wenu wa Mkoa wa Pwani ambaye ana Influence Kubwa ya Kiushawishi katika Awamu hii pamoja na Mama Karume kutoka Kwao Kisiwani Zanzibar.

Wanachokifanya hapa hawa Wazee ni Kumlazimisha Mama nae awapende na awapendelee Yanga SC ili iwe ni Kazi rahisi kwa Wanayanga walioko Serikalini akina Waziri Nchemba, Mzee Mkuchika, Manaibu Mavunde na Ridhiwani nao wasaidie katika Kumshawishi ili Rais wa TFF Karia atishwe na Kamati ya Maadili ya TFF itengue hiyo Adhabu.

Niliwahi kuonya huko nyuma kuwa Rais Samia akae mbali na kulazimishwa kuwa ( awe ) mwana Yanga SC kwani itakuwa na Athari Kubwa Kwake Kiutawala, Kiushawishi na hata Kiusalama vile vile kutokana na Nguvu Kubwa ya hivi Vilabu viwili ila sikueleweka na Wapumbavu wengi ila taratibu nilichokiona sasa kinakuja.

Anayeharibu Mpira wa Tanzania kwa sasa kwa kupitia Kampuni yake inayosimamiwa na GSM ni Mstaafu wenu wa Kikatiba kutoka Mkoani Pwani na asipoangalia au Watu wa TISS wasipoliingilia kati kwa kuacha Haki itendeke, Sheria zifuatwe na Mpira uchezwe kuna Machafuko makubwa na Hatari fulani GENTAMYCINE naiona.

Sisi wana Simba SC tunawasubiri tu wamalize Kuhangaika na huu Upumbavu Wao mkubwa ila Rais Samia akikubali tu kuingia katika huu Mtego anaotegwa na hawa wana Yanga basi ajue Safari yake ya kuwa Rais itakuwa na Misukosuko mingi, ataathirika mno Kisiasa na atakuwa ameshaleta Mpasuko mkubwa wa Kisiasa nchini kwani nasi wana Simba SC tutaamua kuwa kwakuwa Yeye anaipendelea Yanga SC kutokana na Rangi zake Kufanana na za Chama chake cha CCM basi nasi Simba SC tutakubaliana rasmi Wote tuwe wana CHADEMA ambao 85% ya Rangi yao ( zao ) inafanana na ya Klabu ya Simba.

Namalizia kwa Kukuuliza Swali ni kwanini Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli Maamuzi kama haya dhidi ya Yanga SC yalipokuwa yakitokea ulikuwa ( hukuona ) hawa Wazee wa Yanga SC wakitishia kwenda Kuonana nae ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) pale ( hapo ) Ikulu?

Siasa ni Siasa na Soka ni Soka sawa?
Boga la mpitimbi
 
Mada nyingine bhana! Hao Wazee wa Yanga ndiyo akina nani? Na wameomba kukutana lini na Rais? Kiongozi wao ni nani?

Hivi huoni kabisa huu uzi wako umejaa bla bla! porojo na tetesi zisizo na kichwa wala miguu!
Braza watu wana watu[emoji16]
 
Unajua manara ukiacha ushabiki amefanya kosa kubwa na endapo kama atasamehewa kwa hili kuna athari inakuja kuzalishwa watu hawata ieshimu tena taasisi ya TFF na sisi Simba tutakuwa tumeshapata pakuanza tutakuwa hakuna wa kumuogopa tena tunajua tukifanya kosa hakuna wa kutufungia na endapo watajaribu hatutakubali tutasema mbona manara alisamehewa ili haya mambo yakome ionekane hakuna mkubwa juu ya Sheria huyu lazima afungiwe huwezi ongea maneno kama yale yenye dharau na kejeli na kukera halafu uachwe we umekuwa nani wengine tulianza kupenda mpira kabla ya huyo Manara hivyo hata akistaafu sisi tutaona sawa nyie ambaye mnapenda kwa ajili ya porojo za manara ndio mtakaoumia mimi nilikuwa namchukia toka yupo Simba kwa tabia zake za kujiona Simba ni kama yake na kusema bila yake hatuwezi kujaza uwanja haya maneno yalikuwa yananiudhi Leo kaondoka Je Simba hatujazi uwanja au tunajaza?
 
........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.

Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.

Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka

Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
Haiwezi kuwa rahisi kuifanya akili ngumu kuwa nyepesi.

Piga bakora nyingi mpaka atakapoamua kujifunza.

Shenzi kabisa[emoji51]
 
Hawa Wazee hii ni mara ya pili kutishia kwenda Ikulu kumuona Rais Samia baada ya Yanga kutoa sare zile mfululizo, baadaye walivyoona mambo yamenyooka Yanga inashinda, wakatulia.

Kosa kubwa mamlaka yenye dhamana ya soka waliwaacha bila kuwapa ovyo kali mno ili wasirudie.

Hii ni kitu kibaya sana kwenye mpira, na sijui upumbavu gani anawashauri kufanya hivyo.

Yaani Rais apelekewe kesi ya Haji kufungiwa ilhali kuna vyombo vya kusimamia hayo mambo ya mpira nchini na nje ya nchi..!

Kuna watu hovyo sana yaani..!
Na shauri lake halijafika mwisho, amepewa siku 21 kukata Rufaa. Kama anayewapa ushauri ni Baba rizmoko basi uzee wake hauna faida kabisa.
 
Back
Top Bottom