Kaangalie hotuba ya mchengelwa siku ya tunzo za tff 2022 utaelewaAmetoaje hukumu?
Nimesikitika sana ulivyohoji ni Mpumbavu gani anayewashauri na kuwapa Kiburi hiki hawa Wazee wakati unamjua ni Mr. 2005 - 2015 pekee.Hawa Wazee hii ni mara ya pili kutishia kwenda Ikulu kumuona Rais Samia baada ya Yanga kutoa sare zile mfululizo, baadaye walivyoona mambo yamenyooka Yanga inashinda, wakatulia.
Kosa kubwa mamlaka yenye dhamana ya soka waliwaacha bila kuwapa ovyo kali mno ili wasirudie.
Hii ni kitu kibaya sana kwenye mpira, na sijui upumbavu gani anawashauri kufanya hivyo.
Yaani Rais apelekewe kesi ya Haji kufungiwa ilhali kuna vyombo vya kusimamia hayo mambo ya mpira nchini na nje ya nchi..!
Akamalizia kwa kusema wanabweka bweka tu kama mbwaNa aliyekuwa Kocha Mkuu Wao Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliwahi kusema ( ipo YouTube ) kuwa Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe.
Ninaomba niishie tu hapa tafadhali!!
Nimetumia KINAYA (fumbo) tu, ndo maana licha ya hawa Wazee kupewa nguvu, hata yeye anajinasibu kuwa ataiondoa hii kabali alopigwa, lakini huyu mshauri aangalie sana mambo ya hovyo kama haya.Nimesikitika sana ulivyohoji ni Mpumbavu gani anayewashauri na kuwapa Kiburi hiki hawa Wazee wakati unamjua ni Mr. 2005 - 2015 pekee.
Huyo Mshauri ndiyo ( Ndiye ) aliyeiharibu na Kuifelisha Tanzania Kimaendeleo kati ya mwaka 2005 hadi 2015 na Watanzania na Tanzania ilidharaulika kiasi cha hadi kuonekana ni Gulio la Wapumbavu na Ghala Kuu la Kuhifadhia Dawa za Kulevya kwa Bara la Afrika na hasa hasa Ukanda wa EAC na ule wa SADC.Nimetumia KINAYA (fumbo) tu, ndo maana licha ya hawa Wazee kupewa nguvu, hata yeye anajinasibu kuwa ataiondoa hii kabali alopigwa, lakini huyu mshauri aangalie sana mambo ya hovyo kama haya.
Yaani medani ya soka nchini ipate msukosuko kwa ajili ya Haji kweli, ama kweli tuna watu wa hovyo sana yaani.
Umeharisha tayari haya chamba sasaHao Wazee hawajajikusanya Wenyewe bali ni Jeuri wanayopewa na Mstaafu wenu wa Mkoa wa Pwani ambaye ana Influence Kubwa ya Kiushawishi katika Awamu hii pamoja na Mama Karume kutoka Kwao Kisiwani Zanzibar.
Wanachokifanya hapa hawa Wazee ni Kumlazimisha Mama nae awapende na awapendelee Yanga SC ili iwe ni Kazi rahisi kwa Wanayanga walioko Serikalini akina Waziri Nchemba, Mzee Mkuchika, Manaibu Mavunde na Ridhiwani nao wasaidie katika Kumshawishi ili Rais wa TFF Karia atishwe na Kamati ya Maadili ya TFF itengue hiyo Adhabu.
Niliwahi kuonya huko nyuma kuwa Rais Samia akae mbali na kulazimishwa kuwa ( awe ) mwana Yanga SC kwani itakuwa na Athari Kubwa Kwake Kiutawala, Kiushawishi na hata Kiusalama vile vile kutokana na Nguvu Kubwa ya hivi Vilabu viwili ila sikueleweka na Wapumbavu wengi ila taratibu nilichokiona sasa kinakuja.
Anayeharibu Mpira wa Tanzania kwa sasa kwa kupitia Kampuni yake inayosimamiwa na GSM ni Mstaafu wenu wa Kikatiba kutoka Mkoani Pwani na asipoangalia au Watu wa TISS wasipoliingilia kati kwa kuacha Haki itendeke, Sheria zifuatwe na Mpira uchezwe kuna Machafuko makubwa na Hatari fulani GENTAMYCINE naiona.
Sisi wana Simba SC tunawasubiri tu wamalize Kuhangaika na huu Upumbavu Wao mkubwa ila Rais Samia akikubali tu kuingia katika huu Mtego anaotegwa na hawa wana Yanga basi ajue Safari yake ya kuwa Rais itakuwa na Misukosuko mingi, ataathirika mno Kisiasa na atakuwa ameshaleta Mpasuko mkubwa wa Kisiasa nchini kwani nasi wana Simba SC tutaamua kuwa kwakuwa Yeye anaipendelea Yanga SC kutokana na Rangi zake Kufanana na za Chama chake cha CCM basi nasi Simba SC tutakubaliana rasmi Wote tuwe wana CHADEMA ambao 85% ya Rangi yao ( zao ) inafanana na ya Klabu ya Simba.
Namalizia kwa Kukuuliza Swali ni kwanini Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli Maamuzi kama haya dhidi ya Yanga SC yalipokuwa yakitokea ulikuwa ( hukuona ) hawa Wazee wa Yanga SC wakitishia kwenda Kuonana nae ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) pale ( hapo ) Ikulu?
Siasa ni Siasa na Soka ni Soka sawa?
Kwa kukusaidia tu kwakuwa huna Akili kama wana Yanga SC wengi ( 98% ) mlivyo ni kwamba kabla ya Kosa lililomuhukumu Juzi Manara tayari alikuwa ana Akiba ya Makosa zaidi ya Matano Ofisini TFF.........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.
Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.
Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka
Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
Acha vitisho vya kitoto wewe kwa taasisi ya u raisWana Simba SC kwa hili la Wazee wa Yanga SC 'tunamzoom' tu na akithubutu tu kuingia katika Mtego wao ajue amesharibu Soka la Tanzania, FIFA itaingilia, Tanzania tutafungiwa na Sisi wana Simba SC wote hatutokuwa na Imani nae tena, nchi haitotawalika na hata Urais wake unaweza kumtokea Puani.
Awe makini mno na hili na akikurupuka nalo kwa Kushawishiwa na Mstaafu wa Mkoani Pwani ajue atakuwa responsible kwa negative Impact yake na asisahau tu kuwa 95% ya Wana Simba SC ni Wasomi ( Intellectuals ) wa Tanzania na huko Yanga SC Wasio na Akili ni almost 98% hivi.
Boga la mpitimbiHao Wazee hawajajikusanya Wenyewe bali ni Jeuri wanayopewa na Mstaafu wenu wa Mkoa wa Pwani ambaye ana Influence Kubwa ya Kiushawishi katika Awamu hii pamoja na Mama Karume kutoka Kwao Kisiwani Zanzibar.
Wanachokifanya hapa hawa Wazee ni Kumlazimisha Mama nae awapende na awapendelee Yanga SC ili iwe ni Kazi rahisi kwa Wanayanga walioko Serikalini akina Waziri Nchemba, Mzee Mkuchika, Manaibu Mavunde na Ridhiwani nao wasaidie katika Kumshawishi ili Rais wa TFF Karia atishwe na Kamati ya Maadili ya TFF itengue hiyo Adhabu.
Niliwahi kuonya huko nyuma kuwa Rais Samia akae mbali na kulazimishwa kuwa ( awe ) mwana Yanga SC kwani itakuwa na Athari Kubwa Kwake Kiutawala, Kiushawishi na hata Kiusalama vile vile kutokana na Nguvu Kubwa ya hivi Vilabu viwili ila sikueleweka na Wapumbavu wengi ila taratibu nilichokiona sasa kinakuja.
Anayeharibu Mpira wa Tanzania kwa sasa kwa kupitia Kampuni yake inayosimamiwa na GSM ni Mstaafu wenu wa Kikatiba kutoka Mkoani Pwani na asipoangalia au Watu wa TISS wasipoliingilia kati kwa kuacha Haki itendeke, Sheria zifuatwe na Mpira uchezwe kuna Machafuko makubwa na Hatari fulani GENTAMYCINE naiona.
Sisi wana Simba SC tunawasubiri tu wamalize Kuhangaika na huu Upumbavu Wao mkubwa ila Rais Samia akikubali tu kuingia katika huu Mtego anaotegwa na hawa wana Yanga basi ajue Safari yake ya kuwa Rais itakuwa na Misukosuko mingi, ataathirika mno Kisiasa na atakuwa ameshaleta Mpasuko mkubwa wa Kisiasa nchini kwani nasi wana Simba SC tutaamua kuwa kwakuwa Yeye anaipendelea Yanga SC kutokana na Rangi zake Kufanana na za Chama chake cha CCM basi nasi Simba SC tutakubaliana rasmi Wote tuwe wana CHADEMA ambao 85% ya Rangi yao ( zao ) inafanana na ya Klabu ya Simba.
Namalizia kwa Kukuuliza Swali ni kwanini Kipindi cha Hayati Rais Dkt. Magufuli Maamuzi kama haya dhidi ya Yanga SC yalipokuwa yakitokea ulikuwa ( hukuona ) hawa Wazee wa Yanga SC wakitishia kwenda Kuonana nae ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) pale ( hapo ) Ikulu?
Siasa ni Siasa na Soka ni Soka sawa?
Braza watu wana watu[emoji16]Mada nyingine bhana! Hao Wazee wa Yanga ndiyo akina nani? Na wameomba kukutana lini na Rais? Kiongozi wao ni nani?
Hivi huoni kabisa huu uzi wako umejaa bla bla! porojo na tetesi zisizo na kichwa wala miguu!
Haiwezi kuwa rahisi kuifanya akili ngumu kuwa nyepesi.........kwa mpira wetu huu wacha tu serikali iingilie; adhabu inatumika kama njia ya kukomoana badala ya kurekebisha.
Hiyo kamati ilikuwa na uwezo wa kumrekebisha Manara kwa kumtoza faini let say 3,000,000 kwa kuwa alionesha uungwana kwa kuomba msamaha.
Lakini sasa kwa kuwa mwenyekiti wa kamati ana mgongano wa kimaslahi na klabu nyingine wakaamua kushusha nondo kimhemko. Hii haina faida ktk soka
Kamati ijitathmini kwa undani maamuzi yake kama yana lengo la kurekebisha au kukomoana
Hujaeleweka mkuu hebu weka vizuri hoja yako huenda una pointKama nchi itakula ban kisa wazee kuonana na rais, je mchengelwa alietoa huku kwa manara hakuingilia uhuru wa tff?
Na shauri lake halijafika mwisho, amepewa siku 21 kukata Rufaa. Kama anayewapa ushauri ni Baba rizmoko basi uzee wake hauna faida kabisa.Hawa Wazee hii ni mara ya pili kutishia kwenda Ikulu kumuona Rais Samia baada ya Yanga kutoa sare zile mfululizo, baadaye walivyoona mambo yamenyooka Yanga inashinda, wakatulia.
Kosa kubwa mamlaka yenye dhamana ya soka waliwaacha bila kuwapa ovyo kali mno ili wasirudie.
Hii ni kitu kibaya sana kwenye mpira, na sijui upumbavu gani anawashauri kufanya hivyo.
Yaani Rais apelekewe kesi ya Haji kufungiwa ilhali kuna vyombo vya kusimamia hayo mambo ya mpira nchini na nje ya nchi..!
Kuna watu hovyo sana yaani..!
Unaongozwa na hisia tu wewe.Kaangalie hotuba ya mchengelwa siku ya tunzo za tff 2022 utaelewa