Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Tanzania ikiendelea kupiga hatua nyinyi mnaendeleza siasa za kitoto huku JF.
Tanzania ikiendelea kupiga hatua nyinyi mnaendeleza siasa za kitoto huku JF.
Tanzania ikiendelea kupiga hatua nyinyi mnaendeleza siasa za kitoto huku JF.
Utoto mwingine huu hapa.
Utoto mwingine huu hapa.
.kwamba yupo kikatiba ndo aue watu na kuwazika kwenye kaburi la pamoja huko kondoWao waliwashawishi vijana kufanya ujinga wa kuchoma moto vituo vya mafuta na maduka ya watu binafsi?.
Huyo unayemuita muuaji yupo kikatiba anaapishwa kikatiba, ukicheza na nguvu zake jiandae kukutana na adhabu nzito.
Mlileta yale masuala ya Iran mkataka muendelee kuchekewa..kwamba yupo kikatiba ndo aue watu na kuwazika kwenye kaburi la pamoja huko kondo
Damu mbaya sana lakini inakauka, watu wanasameheana na maisha yanaendelea kama kawaida.
Basi kama wazee walijifungia ndani wanawashwa washwa nini sasa ivi kutafuta maridhiano!? Ni kweli ntakuwa Mzee lakini hakuna kijana anayetaka kuacha legacy mbovu kwa nchi kama Hawa wazee wa mchongo wakina Butiku kwa kukaa kimya dhidi ya mauaji yaliyofanywa na Serikali kwa wananchi huo ni upumbafu, waambie hao wazee wahuni waendelee kujifungia ndani kama walivofanya tarehe 29 October because no one cares about the so called 'wazee'.Wapumbavu ni vijana wenyewe waliokubali kudanganywa na kina Mange na Maria kwamba nyinyi ingieni barabarani huko mtakutana na JWTZ walio upande wenu!, ule ndio upumbavu wa kiwango cha lami kudhani kwamba wanajeshi wanaoapa mbele ya Rais watakuwa upande wa vijana wa Gen Z.
Hao wazee hawakuhusika katika kuwadanganya hao vijana waingie mtaani, ni ukosefu wao wa uelewa uliowadanganya. Wazee wakati huo walikuwa wamejifungia ndani.
Vijana mlileta uhuni serikali ikashughulika na nyinyi kihuni vile vile!. Huwezi kuwakwepa wazee mahali popote pale.
Tena usidanganyike na nguvu za ujana ulizonazo, muda hauna rafiki yoyote wenyewe unakimbia kwa kasi kila sekunde. Ukifumba ukifumbua na wewe tayari umeshakuwa mzee.
Wewe hujali lakini wapo vijana wengi wanaowaheshimu.Basi kama wazee walijifungia ndani wanawashwa washwa nini sasa ivi kutafuta maridhiano!? Ni kweli ntakuwa Mzee lakini hakuna kijana anayetaka kuacha legacy mbovu kwa nchi kama Hawa wazee wa mchongo wakina Butiku kwa kukaa kimya dhidi ya mauaji yaliyofanywa na Serikali kwa wananchi huo ni upumbafu, waambie hao wazee wahuni waendelee kujifungia ndani kama walivofanya tarehe 29 October because no one cares about the so called 'wazee'.
Damu mbaya sana lakini inakauka, watu wanasameheana na maisha yanaendelea kama kawaida.
Nchi chache sana afrika ambazo hazijawahi hata mara moja kumwaga damu.
Kipi mtakachofanya ambacho hakitawakera wasiohusika?. Kumbuka kuwa msingefanya vurugu za kipuuzi siku ile hakuna ambaye angeuliwa hata mmoja.
Kipi mtakachofanya ambacho hakitawakera wasiohusika?. Kumbuka kuwa msingefanya vurugu za kipuuzi siku ile hakuna ambaye angeuliwa hata mmoja.
Kipi mtakachofanya ambacho hakitatonyesha vidonda vya wote waliofiwa? Mlikuta Simba wamejilalia mkawachokoza kwa kuchezea mikia yao.
Tanzania imerudia hali ya amani, nyinyi wenye nongwa na visasi moyoni endeleeni tu kuishi kwa maumivu.
Tanzania imerudia hali ya amani, nyinyi wenye nongwa na visasi moyoni endeleeni tu kuishi kwa maumivu.