Wazee wanatoa maazimio yao juu ya kilichotokea tarehe 29 Oktoba

Wao waliwashawishi vijana kufanya ujinga wa kuchoma moto vituo vya mafuta na maduka ya watu binafsi?.

Huyo unayemuita muuaji yupo kikatiba anaapishwa kikatiba, ukicheza na nguvu zake jiandae kukutana na adhabu nzito.
.kwamba yupo kikatiba ndo aue watu na kuwazika kwenye kaburi la pamoja huko kondo
 
Basi kama wazee walijifungia ndani wanawashwa washwa nini sasa ivi kutafuta maridhiano!? Ni kweli ntakuwa Mzee lakini hakuna kijana anayetaka kuacha legacy mbovu kwa nchi kama Hawa wazee wa mchongo wakina Butiku kwa kukaa kimya dhidi ya mauaji yaliyofanywa na Serikali kwa wananchi huo ni upumbafu, waambie hao wazee wahuni waendelee kujifungia ndani kama walivofanya tarehe 29 October because no one cares about the so called 'wazee'.
 
Wewe hujali lakini wapo vijana wengi wanaowaheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…